Mwenyezi Mungu msaidie Trump ashinde uchaguzi kesho

Chakusikitisha zaidi ni kwamba hizi ulizozitaja zote zinafit kwa huyu wa kwetu hapa.

Hayo ndio matumizi sahihi ya irony
Akilini mwangu huwaza hivyo kuwa Magu na Trump ni ndugu kwa tabia zao!
 
Narudia nilichokiandika, kama Trump angejua kuna watu wa akili hizi huku, angetumia neno kali zaidi ya alilotumia.
Usiende nje ya mada wala usirukeruke.
Pia sijakwambia urudie kuandika ulichoandika.

Jibu swali.
Kama huna uhakika na kauli zako.
Je una uhakika gani kwamba mimi naakisi kauli ya trump na si wewe unayeakisi kauli ya trump?

Jibu swali kwa facts usilete tabia mbovu za kiafrika.

Wewe chokodari jibu swali hilo.
 
Unanijua personal?

Kama hunijui basi hiyo inaprove kauli ya trump inaaply kwako.

Nakazia tena, Trump alisemea viumbe wa aina yako... sihitaji kukufahamu personally kuthibitisha hilo.
 
Machadema bangi tu, unamsapoti jinga jinga anayetuita nyani kweli!!?
Unauhakika na maneno yako hayo??!tatizo unakurupuka sana tu trump hawezi kuongea kitu kama hicho hayo ni maneno yako binafsi na fikra zako wewe
 
Unauhakika na maneno yako hayo??!tatizo unakurupuka sana tu trump hawezi kuongea kitu kama hicho hayo ni maneno yako binafsi na fikra zako wewe
We tuambie neno moja tu zuri ambalo Trump alinena kuhusu sisi weusi
 
Jamaa nilikua namchukua sana kwa kauli zake juu ya Africa....lakn kwa nilio yashuhudia 28th namuunga mkono kwamba Africa yetu ni Shit hole kabisaa
Sithole! Unamzungumzia Ndabhaningi Sithole muasisi wa ZANU PF ya Zimbabwe?
 
Niko Aljazeera muda huu Mchuano ni mkali kati ya Trump na Bidden both Popular votes na Electoral college votes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…