Mwenyezi Mungu, nifanye lipi ili ujibu ombi langu, niwe vipi ili unitue mzigo huu? Mbona ni kama umenifumbia macho hunioni

Nafahamu penye wengi pana mengi,lkn ebu tujifunze kusoma kati kati ya mistari,huyu ana changamoto ambayo ni nzito kwake anahitaji faraja na maneno ya kumpa nguvu na kumwelekeza namna ya kutokata tamaa na rehema za Mola wake

Tusifanye kila jambo ni jokes,hapana tunakosea sana,ebu jaribu kujiweka katika nafasi yake uone utajisikiaje?

Tujirekebishe wadau
 
Mungu katuumba ili tumpende, tumuheshimu, tumuabudu, kumtukuza na kumtumikia ili tupate kufika kwake mbinguni. Katika kusali kuna kusifu, kushukuru, kuomba na kuombea wengine! Mungu asikilizi malalamiko au kero; maana kukuweka hapo ulipo na kwa namna ulivyo ana sababu. Shukuru japo tu hata kwa kukupa uhai na utaona malango ya neema yanafunguka!
Nyie acheni mambo ya ajabu, mungu anakuacha kwenye umaskini unakula mlo mmoja kwa siku na una watoto na mke?. Kupata riziki tu tabu... huyu ni mungu au kifurushi cha matatizo?
 
Mimi sio bora kuliko wengine ila napambana kwa namna ilio haki, kwa namna ilio ya juhudi huku namtanguliza alioiumba dunia hii.

Kila nachogusa ni kama kiko allergic na mikono yangu, hakiwi ridhiki, hakikaii, watoto watakula nini, nimtamtunza vp huyu mrembo ambae Mungu alinijalia.

Mimi ni mpumbavu kuliko wote? Mimi ni mdhambi kuzidi wadhambi wengine?

Je, natwanga maji kwenye kuni? Je nasukuma ukuta? Maana baba jitihada yangu kukufikia hailingani na muelekeo nilio nao.

Mama anataabika, mimi nitaabika, mdogo wangu anataabika,

Nimemuona mama yangu akikuliliia miaka nenda miaka rudi ila bado amekuwa rafiki wa tabu na mateso,.

Je, baba yangu ni laana umeiruhusu katika nzao yake, je ni basi tu hatupo katika mipango ya baraka zako?

Nashuhudia tu makuu ya hii dunia, hata walio na dhambi wakifurahia kiasi, ila mimi nimekuwa cas study ya tabu

Mbona saul alikuwa muuaji ila ulimpa ukuu wa milele, mimi ni wa aina gani hadi niwe mtumwa wa dhiki kiasi hiki

Baba, nimekufanyia makubwa, nimekulilia, hata kama nilikosea ila ilikuwa ni kwa jina lako.

Kwanini utake kuruhusu nifanye maamuzi utafikiri mlugha mlugha ambae hajawi kukutumainia?
Mwaga hisia zako zote kwa Mungu Baba bila unafiki wala uoga.Mwambie unavyojisikia. kwa dhati kabisa.Alafu muombe akupiganie.Utaona mambo makubwa.
 
Mimi sio bora kuliko wengine ila napambana kwa namna ilio haki, kwa namna ilio ya juhudi huku namtanguliza alioiumba dunia hii.

Kila nachogusa ni kama kiko allergic na mikono yangu, hakiwi ridhiki, hakikaii, watoto watakula nini, nimtamtunza vp huyu mrembo ambae Mungu alinijalia.

Mimi ni mpumbavu kuliko wote? Mimi ni mdhambi kuzidi wadhambi wengine?

Je, natwanga maji kwenye kuni? Je nasukuma ukuta? Maana baba jitihada yangu kukufikia hailingani na muelekeo nilio nao.

Mama anataabika, mimi nitaabika, mdogo wangu anataabika,

Nimemuona mama yangu akikuliliia miaka nenda miaka rudi ila bado amekuwa rafiki wa tabu na mateso,.

Je, baba yangu ni laana umeiruhusu katika nzao yake, je ni basi tu hatupo katika mipango ya baraka zako?

Nashuhudia tu makuu ya hii dunia, hata walio na dhambi wakifurahia kiasi, ila mimi nimekuwa cas study ya tabu

Mbona saul alikuwa muuaji ila ulimpa ukuu wa milele, mimi ni wa aina gani hadi niwe mtumwa wa dhiki kiasi hiki

Baba, nimekufanyia makubwa, nimekulilia, hata kama nilikosea ila ilikuwa ni kwa jina lako.

Kwanini utake kuruhusu nifanye maamuzi utafikiri mlugha mlugha ambae hajawi kukutumainia?
Ondoa nishati hasi mwilini mwako kwa chumvi ya mawe utaona mabadiriko.
 
Hakuna asiye na shida wewe, au unadhani uko peke yako? Na watoto wanaokufa njaa nao wamlilie nani? Maisha sio fair, fanya unachoweza au kaa chini upoteze muda kulaumu na kulalamikia imaginations.

Honestly hutakiwi kuonewa huruma wala kufarijiwa hata kidogo kama wafanyavyo hawa members.
 
Kuna swahaba wa mtume alikuwa masikini wa kutupwa,ila alikuwa anafanya ibada mwanzo mwisho sambamba na Mtume,

Sasa yule swahaba wa mtume siku moja akamuendea mtume kumuambia mtume amuombee kwa M/mungu amuondolee dhiki ye na familia yake,maana hata nguo tu za kuswalia anafanya kubadilishana na mkewe, mtume alimsihi sana avumilie iko siku Mungu atamjalia ridhiki ya ukarimu, hadithi ni ndefu , ataimalizia bwana Malaria 2
 
Ndugu zangu maombi ya usiku wa manane au tisa yana matokeo bora sana,inaonyesha ni kiasi gani unataka msaada wa Mungu

Wakati wenzio wamelala wewe unamtakasa Mungu na kuomba rehema zake,yeyote mwenye changamoto za maisha na madhila mbali mbali awe anaamka usiku mzito walau hata mara tatu kwa wiki kheri kubwa itapatikana

1. Point ya kwanza nimeipata.
2.Unamtakasa Mungu?
 
Hakuna asiye na shida wewe, au unadhani uko peke yako? Na watoto wanaokufa njaa nao wamlilie nani? Maisha sio fair, fanya unachoweza au kaa chini upoteze muda kulaumu na kulalamikia imaginations.

Honestly hutakiwi kuonewa huruma wala kufarijiwa hata kidogo kama wafanyavyo hawa members.
Mbona wewe shida zako hujaziandika hapa? We mtu hapati hela ya kula na ana mke na watoto
 
Kila nachogusa ni kama kiko allergic na mikono yangu, hakiwi ridhiki, hakikaii, watoto watakula nini, nimtamtunza vp huyu mrembo ambae Mungu alinijalia
POLE SANA.

Mkuu malalamiko hayajawai leta chochote mezani, Ni bora kuendana na mazingira(kubadilika) kuliko kulalamika.

Lakini Mungu hubariki kazi ya mikono yako, tunaomba utupe hint kidogo za nini unafanya kujipatia mkate wa kila siku ili tuone tatizo ni wewe au ni mikono yako ina Allergy na Mafanikio. Unaweza pata mawazo yatakayobadilisha chochote.

Kuna wakati unaweza kuta ni umekosa tu taarifa sahihi ili kuweza kukuondoa mahali ulipo na kukusogeza mbele.

Be a Man, nyakati ngumu ndio zinafanya uwe bora.
Dunia haina huruma so ukiwa mlalamikaji itakufanya vibaya zaidi.
 
Mimi sio bora kuliko wengine ila napambana kwa namna ilio haki, kwa namna ilio ya juhudi huku namtanguliza alioiumba dunia hii.

Kila nachogusa ni kama kiko allergic na mikono yangu, hakiwi ridhiki, hakikaii, watoto watakula nini, nimtamtunza vp huyu mrembo ambae Mungu alinijalia.

Mimi ni mpumbavu kuliko wote? Mimi ni mdhambi kuzidi wadhambi wengine?

Je, natwanga maji kwenye kuni? Je nasukuma ukuta? Maana baba jitihada yangu kukufikia hailingani na muelekeo nilio nao.

Mama anataabika, mimi nitaabika, mdogo wangu anataabika,

Nimemuona mama yangu akikuliliia miaka nenda miaka rudi ila bado amekuwa rafiki wa tabu na mateso,.

Je, baba yangu ni laana umeiruhusu katika nzao yake, je ni basi tu hatupo katika mipango ya baraka zako?

Nashuhudia tu makuu ya hii dunia, hata walio na dhambi wakifurahia kiasi, ila mimi nimekuwa cas study ya tabu

Mbona saul alikuwa muuaji ila ulimpa ukuu wa milele, mimi ni wa aina gani hadi niwe mtumwa wa dhiki kiasi hiki

Baba, nimekufanyia makubwa, nimekulilia, hata kama nilikosea ila ilikuwa ni kwa jina lako.

Kwanini utake kuruhusu nifanye maamuzi utafikiri mlugha mlugha ambae hajawi kukutumainia?
Mshukuru Mungu kwa kila jambo na kila uchao, wakati wa Mungu ni siri.
 
Naomba unipatie hints
Nunuwa chumvi ya mawe kilo kadhaa au paketi kadhaa changanya kwenye ndoo ya maji ya kuoga fanya hivyo kwa siku 21 huku ukimuomba Mungu wakati unaoga tamka unaondowa nishati hasi mwilini mwako na unakaribisha nishati chanya na unaondowa nuksi na mikosi yote ndani ya mwili wako hee Mwenyezi Mungu nisaidie.
 
👉Kuwa na subira basi
👉Angalia Mungu machache aliyokupa huwezi kuwa mnyonge Kila sehemu
 
Nunuwa chumvi ya mawe kilo kadhaa au paketi kadhaa changanya kwenye ndoo ya maji ya kuoga fanya hivyo kwa siku 21 huku ukimuomba Mungu wakati unaoga tamka unaondowa nishati hasi mwilini mwako na unakaribisha nishati chanya na unaondowa nuksi na mikosi yote ndani ya mwili wako hee Mwenyezi Mungu nisaidie.
Ahsante boss wangu
 
Back
Top Bottom