Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafikiri unamaanisha Ramanujan. Umenikumbusha kitabu cha Robert Kanigel "The Man Who Knew Infinity: A Life of the Genius Ramanujan".
Ila kiwa genius mzigo, jamaa kuna wakati alitaka kujirusha aangukie kwenye reli agongwe na treni Uingereza.
Sayansi kushindwa kueleza ujuzi wa Ramanujan haimaanishi kwamba kuna mungu, inamaanisha tu kwamba hatujajua vizuri ubongo unavyofanya kazi.

wewe ni sabau gani amabazo zinakufanya ukatae uwepo wa mwenyezi mungu?
Hakuna ushahidi was uwepo wake
kwa kutumia vigezo vipi (methods ) mpaka unasema hakuna ushahidi wa uwepo wake?
Kwa uelewa na utafiti wa kawaida.Labda we useme umetumia njia gani isiyo na shaka kujua kwamba kuna mungu
inawezekana ikawa kweli .....lakini unafikiria ipo cku itatokea sayans ikaja na majib ya coincidence za mapacha kina james walio fanyiwa adoptation na watu wasio juana wakaenda kupewa jina moja wakao wanawake wenye majina yanayofanana waka waacha mwaka m1 wakaoa tena wanawake wenye majina yanayifanana tena wakazaa watoto wakawapa tena jina linalofanana(source readers digest)
wewe ni sabau gani amabazo zinakufanya ukatae uwepo wa mwenyezi mungu?
Wewe ni mtupu upstair_sema utakuwa ni mmoja wa wale wavaa visuruali vifupi ndio maana unaamini watu wote wanaamini hicho kitabu cha kutungwa na mizimu ya kiarabu.
Mtu mwenye uelewa wa kweli na yuko exposed na mambo ya dunia ya sasa hawezi ku_quote vitabu hivi vya hadithi vya quaran na biblia kujustfy uwepo ama nguvu za Mungu.
Mungu mwenye uwezo wote, utakatifu wote, ujuzi wote na upendo wote asingeumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana.
Utakatifu wake tu usingeruhusu awe na uhusiano wowote na ulimwengu ambao mabaya yanawezekana.
Ukweli kwamba tunaishi katika ulimwengu ambao mabaya yanawezekana unatuonyesha kwamba huyo mungu hayupo, ni wa kufikirika tu.
Ni kama kusema kuna pembetatu ambayo ni duara katika Euclidean geometry, huku ukijua wazi kwamba pembetatu haiwezi kuwa duara na duara halowezi kuwa pembetatu.
hii hoja siyo ngeni in such kwa mujibu wa imani yangu katika quraan 2:30.
"Na pale Mola wako Mlezi alipo waambia Malaika: Mimi nitamweka katika ardhi
Khalifa (mfwatizi), wakasema: Utaweka humo atakaye fanya uharibifu humo na
kumwaga damu, hali sisi tunakutakasa kwa sifa zako na tunakutaja kwa utakatifu
wako? Akasema: Hakika Mimi nayajua msiyo yajua"
hapa mimi sioni kama kuna utata wa kimantiki kuhusiana uzuri na ukubwa wa mwenyezi katika kuruhusu mabaya na mateso ambayo yanatokea duniani. hapa kuna watafiti wawili amabao wako open katika tafiti zao. Stump and Murray make the following confession in their book, Philosophy of Religion: The Big Questions:
The logical problem of evil has been severely criticized in recent years and is regarded in the contemporary literature on the subject as largely discredited. In brief, the problem with this argument is that it assumes something false. Specifically, it assumes that a good being would prevent every evil it can under any circumstances Thus, at best, the logical problem of evil shows us that if God exists, the only evil that exists is evil for which there is some good reason.
cha kwanza ndugu unapaswa uelewe maisha ni kama mtihani. mwanadamu amepewa limited free will kufanya mabaya au maovu na ndo maana kunakuwa kuna muongozo ambao mtu amepewa ili aweze kuishi katika njia nzuri inayompendeza mwenyezi ili aepukane na uovu.hii yote mwenyezi anaonyesha upendo kwa mwanadamu.
Eti mungu yupo
Afu mtu ana qoute Qur'an
Nani kasema Qur'an ndio kitabu cha kutoa facts.
Wewe uliye qoute unahitaji usome Darwin's book entitled The Origin of Species
Mimi nawaachia wa nukuu Quran, maana ndicho kutabu wanachokuamunu.
Katika Quran, imeandukwa kwamba kuna watu mungu atawafanya mioyo yao iwe migumu kumuelewa. Hata wafanyeje hawatapata rehema ya kumjua. Ndivyo alivyotaka mwenyewe.
Sasa nawauliza. Inakuwaje mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote akawa na roho mbaya hivyo?
Hao watu wamemkosea nini mpaka awapangue hivyo?
Na kama yeye mwenyewe ndiye aliyewapangia kutomjua hata wafanye nini, siku ya kiama atawahukumu? Kwa kosa gani?
Mpaka sasa sijapewa jibu.
Ndugu huwezi kupewa jibu kwasababu huyu mungu anaonekana kuwa Binadamu.
Huyu pure Binadamu.
Vitabu hivyo vimejaa contradictions mingi ambazo kwa mtu ambaye ni FREE THINKER hawezi kuziamini.
hii hoja siyo ngeni in such kwa mujibu wa imani yangu katika quraan 2:30.
"Na pale Mola wako Mlezi alipo waambia Malaika: Mimi nitamweka katika ardhi
Khalifa (mfwatizi), wakasema: Utaweka humo atakaye fanya uharibifu humo na
kumwaga damu, hali sisi tunakutakasa kwa sifa zako na tunakutaja kwa utakatifu
wako? Akasema: Hakika Mimi nayajua msiyo yajua"
hapa mimi sioni kama kuna utata wa kimantiki kuhusiana uzuri na ukubwa wa mwenyezi katika kuruhusu mabaya na mateso ambayo yanatokea duniani. hapa kuna watafiti wawili amabao wako open katika tafiti zao. Stump and Murray make the following confession in their book, Philosophy of Religion: The Big Questions:
The logical problem of evil has been severely criticized in recent years and is regarded in the contemporary literature on the subject as largely discredited. In brief, the problem with this argument is that it assumes something false. Specifically, it assumes that a good being would prevent every evil it can under any circumstances Thus, at best, the logical problem of evil shows us that if God exists, the only evil that exists is evil for which there is some good reason.
cha kwanza ndugu unapaswa uelewe maisha ni kama mtihani. mwanadamu amepewa limited free will kufanya mabaya au maovu na ndo maana kunakuwa kuna muongozo ambao mtu amepewa ili aweze kuishi katika njia nzuri inayompendeza mwenyezi ili aepukane na uovu.hii yote mwenyezi anaonyesha upendo kwa mwanadamu.
Kwahiyo huyo Mungu wako anaonyesha upendo kwa mwanadamu kwa kuwapa masharti?
Kwanini asiumbe dunia ambayo mabaya yasingewezekana au alishindwa?