Mwenyezi Mungu tujaalie tupate Magufuli Mwingine

Ni chuki ndo inakuongoza kusema unachokisema hamna jingine unabisha?
 
Wacha upumbavu wako mwamba! Yaani unaombea nchi ipate shetwan tena? Hatutaki kwenda huko tena!
 
Jipigepige kifuani huku ukisema moyoni hakika mimi ni mchawi na ninastahili kuwa kuzimu kule alipo shetani mwenzangu kutoka Chatou.
Bila shaka wewe ndo unastahili kufanya hivyo kila la heri
 
Yaani we wacha tu,tumerudi kulekule tulikotoka, rushwa imeanza kuota tena mizizi, tuseme ukweli sasa huduma zimekuwa ghali na kama huna kitu mkononi hakuna atakuita na kukuuliza shida yako,utaangaliwa tu pengine uambiwe neda kule na huku.
Hakuna uchaguzi mkuu, bila katiba mpya, pia jifunze kuhusu' autocratic leadership'
 
Yaani we wacha tu,tumerudi kulekule tulikotoka, rushwa imeanza kuota tena mizizi, tuseme ukweli sasa huduma zimekuwa ghali na kama huna kitu mkononi hakuna atakuita na kukuuliza shida yako, utaangaliwa tu pengine uambiwe nenda kule na huku.
Hili ombi peleka kwa mkuu wa motoni atalitimiza mapema iwezekanavyo... Wa Mungu sio watu wa dizaini ile.
 
Uncle Magu..ooh Uncle Magu.

Hivi kifo hakina kukata rufaa kweli wadau?

Sasa hivi mtaani hatuna hata matumaini ya kupata maendeleo. Wakati wa JPM tuliona maendeleo yanatusogelea Kila Kona. Sasa hivi tupo tu.
Sahizi ni mwendo wa kusikia mahela tu yametolewa ila huoni hata fundi akihangika na ujenzi
 
Ulaniwe wewe na swala zako walasikuitaji kusoma chini kichwa tu kimetosha
 
Mnataka kupandishwa madaraja kwa kuwa mna tamaa hamridhiki na mnachokipata na hamfanyi kazi kwa weledi kongole kwenu mtasubiri saaana tu!
 
Kuna watu wana miaka miwili wanasubiria vitambulisho vya NIDA, mambo hayajawahi kubadilika sana kama unavyofikiri. Wewe itakuwa mwaka huu ndio umeomba passport.
Yaani we wacha tu,tumerudi kulekule tulikotoka, rushwa imeanza kuota tena mizizi, tuseme ukweli sasa huduma zimekuwa ghali na kama huna kitu mkononi hakuna atakuita na kukuuliza shida yako, utaangaliwa tu pengine uambiwe nenda kule na huku.
 
Shida ya watanzania tumezoea kuumizana, akitokea mtu wa kusimamia vikali tabia za wenye nafasi kuumiza wenye shida zao na kuhimiza uzalendo lazma aonekane mchawi!

Kundi la wanufaika na wanaotumia vyeo vyao kujipatia rushwa na kurefusha michakato ya mambo kama huduma za kijamii ndio hao ambao wakibinywa kende wanaishia kumtusi kiongozi mwenye calibre ya Magufuli na kumuona mchawi tu ila wao kutengeneza mazingira ya rushwa wanaona wako na haki na ni sahihi sana kuumiza wanyonge.

Imagine juzi kupokea maiti ya jirani yetu pale Airport iliotoka US kulikuwa na michakato ambayo hata haieleweki na kuzubaishana eti passport ya marehemu ikasainiwe sijui immigration mara blaah blaah yani mlolongo wote walipopewa chambi chambi ishu ikaisha dkk30 tu!
 
Nchi inahitaji wababe wenye misimamo wasiotishwa na mabeberu wanaojali watu wao na kuonyesha cha moto wanafiki na wasaliti wanaojificha kwenye haki na demokrasia
 
Akipatikana mchukue uende nae kwako akakufurahishe sisi wengine tuko na mama tunaenjoy kuliko Hugo kipenzi chako
Mama lazma mumfurahie sababu ya per diem mnazojiandikia daily! Misafari na seminar za upigaji hapo lazma mama ashabikiwe tu!

Na uzuri sio mfuatiliaji wa weledi wa wafanyakazi!
 
Africa kama sio dunia imepoteza mtu wa shoka Magufuli atabaki kuwa Magufuli wala si Mbowe wala Lissu wenye uzalendo kwa watu wake na nchi yake!
Why Mbowe na Lissu? Ndio wanaotishia legacy? Kwa nini usimlinganishe na Samia au Zitto au Membe wanaoifuta legacy kwa vitendo?
 
Mama lazma mumfurahie sababu ya per diem mnazojiandikia daily! Misafari na seminar za upigaji hapo lazma mama ashabikiwe tu!

Na uzuri sio mfuatiliaji wa weledi wa wafanyakazi!
Wala hujakosea mwamba yanajidhihirisha wazi na yanaonekana asiyeona ana mashaka na macho yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…