Mwenyezi Mungu tujaalie tupate Magufuli Mwingine

Wala hujakosea mwamba yanajidhihirisha wazi na yanaonekana asiyeona ana mashaka na macho yake
Ila angekuwa mfuatiliaji wa mienendo ya wafanyakazi na kuwatumbua tumbua ungesikia matusi yake humu!

Wabongo ni wazembe kazini na hawataki kufuatiliwa wao wajipigie hela za serikali, waombe rushwa kwa wananchi wenye shida zao ofisini huko wafanye mambo yote ya hovyo ila wasiguswe! Hapo utaonekana raisi wa maana kuliko chochote. Ila yule wa kuharibu mianya ya upigaji lazma wamuite shetani!
 
Huwezi kuendelea kwa Kutegemea mtu, ukizingatia huyo mtu at most ana miaka kumi tu..., Muhimu ni Taasisi Imara

Taasisi imara haijitengenezi, kumbuka taasisi legelege kuna watu wananufaika nayo...

Unahitaji mtu imara kupata taasisi imara.. kabla ya kutengeneza unapaswa kuvuruga kwanza ndio utengeneze...hiyo taasisi imara huwezi kuitengeneza wakati umezungukwa na PUMBAVU ambazo lazima uzieliminate kwanza then ubaki na wanaojielewa ndio ufanye kitu...
 
Alikuwa hafai, alikuwa saddist.

Kukuua hakuona tabu, Lissu kaponea chupuchupu. Ben Saanane hakupata bahati hiyo.

Kawavuruga wakulima wa korosho, kawatia hasara tele, kisha akapora fedha za wafanyabiashara wa bureau de change, usishau kuchungulia account za watu benki na kupiga pini pesa kama account zimenona.

Bila kusahau kupora chaguzi, kuanzia zile za marudio, serikali za mitaa mwaka 2019 na uchaguzi mkuu 2020, kununua wapinzani, kuingilia bunge na kuliweka mfukoni na kuua freedom ya press.

Usisahau na mauongo ya karne, ya kupika Takwimu

Alikuwa hafai yule mtu, alikuwa mharibifu
 
Hivi hakuna taratibu ya kukamata na kunyonga wafanyakazi wa umma wanaosaliti nchi? Serikali itoe sheria ya kunyonga wapuuzi kama hawa.
 
Hilo DUBWASHA unalilisifia kwa Tanzania likikuwa Moja tu. Nalo liliingia kwa bahati mbaya toka Burundi. Baada ya kulizika pale Chato mnamo tarehe 27/ 03/ 21, Tanzania imekuwa kama imepata Uhuru wa pili

Hakika nasema Mtanzania halisi hawezi kuwa na chuki ambayo Magufuli alikuwa nayo dhidi ya Watanzania.

Kwa wanaomoenda nawashauri wamfuate huko kuzimu, hamna namna
 
Mungu atusaidie tumpate mpenda wanyonge, mtetezi wa masikini na haki kama alivyokuwa Magufuli na kuzidi.
Mleta mada utatukanwa humu na wale wezi, wala rushwa, mafisadi na waliotumbuliwa ila usijali shetani yupo kazini na kweli itasimama siku zote
 
Magufuli atasimama kuwa alama njema ya taifa hili na Africa kwa jumla. Ataendelea kuwa jembe, chuma na mwana mwema wa Africa. Aliwanyoosha mafisadi, wezi,wazembe na wala rushwa mpaka maji wakaita mma'Asante Magufuli. Wanaokutukana tunajua yaliyowasibu walahawatutishi
 
Mungu atusaidie tumpate mpenda wanyonge, mtetezi wa masikini na haki kama alivyokuwa Magufuli na kuzidi.
Mleta mada utatukanwa humu na wale wezi, wala rushwa, mafisadi na waliotumbuliwa ila usijali shetani yupo kazini na kweli itasimama siku zote
[emoji375][emoji375][emoji375] nakazia.
 
Kabisaa... [emoji375]
 
Good
 

vick kamatta.
 
Fedha za ujenzi zilipitushwa na Bunge gani? Kampuni yake ilipitia mchakato gani kupata iyo tenda?

Pumbavu
Kazi imefanyika au haijafanyika vyema? Mchakato mat**o ndio mnaleta michakato ya kijinga kuchelewesha maendeleo.Hata angeiba matrilioni ya kutosha! Watanzania tungeridhika kwa mambo makubwa aliyoifanyia Tanzania!
 
Bahati hua haijirudii na bado muda unakuja tutajua tu kua tulimpoteza Rais
 
Mbona kama wajitisha mwenyewe, Mungu fundi aisee, sujui tungekuwa wapi kama taifa bila Mungu kuingilia kati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…