Wakuu hali ni mbaya sana kiupande wangu, Baada ya kuona Boda Boda amekua ni kiungo kikubwa kwenye maisha yetu, nilianza kutumia njia za busura kumshauri mwenza wangu aache ku deal nae, Nilivyoona Busara haifanyi kazi nikalazimika kujaribu kutumilia nguvu, ILa hapa kwa kweli nimezidi kuvurugika, Shemeji yenu amegoma kabisa kuacha ki deal na huyo mtu.
Amenipa makavu uso kwa uso kua hilo jambo haliwezekani, Maana huyo Boda Boda wake yeye anamfaa sana, mambo yake mengi yanakwenda kwa yeye, bila yeye mambo yatavurugika mambo mengi kwahiyo haiwezekani yeye kuacha ku deal nae.
Nashindwa kupata maamuzi sahihi ya kufanya mpaka muda huu, SImu yake ukiitizama kwa siku moja tu simu wanazopigiana na Boda Boda ni zaidi ya 10. NI nyingi mno kuliko tunazopigiana sisi wenyewe.
Hatua ya mwanzo najaribu kumzuia kufanya kazi, ila mlolongo umekua mzito sana kwenye hayo masharti yake ya kukubali kuacha kazi.
Lakini kivovote vile ni rahisi yeye kumuachisha kazi lakini suala la Boda Boda hata hata majadiliano alishatoa maamuzi ya No.
NImevurugwa mno kwa kweli.
Sijui hata nianzie wapi