Mwenza wangu amegoma kuachana na BodaBoda wake

Mwenza wangu amegoma kuachana na BodaBoda wake

Wala sio hirizi,
Bodaboda hua kuna michezo hua wanawafanyia, na hawa wadada akishafanyiwa hio kitu hua wanakua kama vile mazombie huwezi kuwaambia kitu wakakuelea, ukikaa kwenye vijiwe vya bodaboda na kusikiliza story zao ndio utajua hawa jamaa ni shida tena especially kwa wake za watu.
Fungua code hizo mkuu
 
Kumbe weak men bado wapo, kitendo cha kubishana nawewe kuhusu uyo boda inatosha kumpiga chini siyo mpaka upate ushahidi analiwa.kasome kitabu cha the way of superior men
 
Back
Top Bottom