6WaS9
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 2,562
- 3,028
Tatizo limeanzia kwao udhaifu, kukosa misimamo +kutokujiamini ....
Mwanamke yey ame react kutokana na mambo hayo !
Kutojiamnini kwako kunakufanya uamini kazi ya mwanamke ndio inayompa jeuri..?, au kazi yake ndio inamtuma awe na mahusiano na boda boda ?
Unamatatizo binafsi ambayo inabodi uya fix , kutatua matatizo ya mahusiano . Chunguza uyajuwe usitafute sababu zisizo sahihi...