Mwenza wangu amegoma kuachana na BodaBoda wake

Mwenza wangu amegoma kuachana na BodaBoda wake

Kifupi jamaa ameshapandwa kichwani na mwanamke. Unatoa amri kama baba mji mkewako anakuwa juu ya amri, Kuna shida pahala.
Kwanza huyo si mwenza wake tena ni mwenza wa bodaboda. Kama mimi nakatisha huduma zote zinazomuhusu yeye binafsi kisha naongeza huduma kwa mchepuko siombi mbususu wala nini akitakq kitu namwambia nenda kwa boda wako.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Yani huyu mwanamke amekupanda kichwani kiasi kwamba jambo dogo kama hili limekushinda?
Huyo mwanamke si anaweza kukupiga wewe?

Nakushauri umwambie mara yamwisho kuwa ana muda wa siku moja wa kuchagua kuwa nawewe au kuwa na huyo boda•

Usikubali mwanamke uliye muoa akuendeshe namna hii...hakikisha umembadilikia hadi aone kama yuko jehanamu yani mchimbe mkwara kweli na ikiwezekana muite na huyo boda umchane live.

Acha kulia lia huyu mwanamke mtandike hata vibao inaonekana anakuona wewe mwanamke mwenzie.....
Nakazia
✍️✍️✍️
 
Washenzi wale wakishapiga vitu vyao hua hawaoni kinyaa hata kidogo, mwanamke akishaingia kwenye 18 zake anakwambia siku ya kwanza ni siku ya kumkoleza, siku hio mdada atanyonywa kila sehemu ya kiungo chake, na anakwambia akishafika kwenye kiduara anaweza kutumia hata masaa mawili kunyonya, hiyo wenyewe wanaita limbwata, yaani bodaboda anapambana kunyonya tigo mpaka demu anafikia climax.
Hapo kama ni mke wa mtu ndio kwisha habari yake, bodaboda kila siku anapambana kuhakikisha demu anafika mshindo, na kama mumewe hajawahi kumfikisha hio ndio inakua nitolee tena, huyo mke hawezi kuambiwa kitu akakuelewa.
Bila kusahau takwimu zinaonesha bodaboda wengi ndio wanaoongoza kutumia vumbi la Congo.

Dah Umezidi kunivuruga mkuu
 
Mwambie huyo bodaboda ndoa yangu iko matatani ksbb yako. Kuanzia leo sitaki kukuona ukimbeba mke wangu. Ataleta habari za mwambie mkeo asinitafute yeye mimi nafuata hela,mwambie akikupigia fanya vyovyote mpige chenga,au kataa kabisa
 
1. Kwa karne hii kama umebahatika kupata mke mwenye kazi naomba hilo wazo la kutaka kumuachisha ulifikirie Vizuri kwani akiachia nafasi hataipata tena (Labda kama unavitega uchumi vya nguvu hivyo unataka kumuajiri)
2. Kama unauwezo wa kutaka kumuachisha mkeo kazi inamaana kiuchumi uko vizuri; Si ununue bajaji au Pikipiki yako ikae hapo nyumbani na pengine uwe na kijana unaye muamini awe anaitumia akitaka kuagiza kitu?
3. Kimsingi kama unataka kumuachanisha na huyo Boda ni vizuri pia utengeneze utaratibu wa kufanya vinavyofanywa na huyo boda vifanyike ili kusiwe na umuhimu wa kumuita
[emoji3516][emoji3516][emoji123]
 
Mods lengo lenu la kueka hiyo picha ni nini? kunizidisha ghazabu au vipi?
 
Kuna msela humu jf alituambia ya kwamba alimuachia dem boda boda ili kwake isiwe tabu na ww fanya hivyo
 
Back
Top Bottom