Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanasema Ukiona mkeo hakusikiliziAlafu ukiona Unamwambie Mke wako jambo, alafu halifanyi.
Maana yake hauna mamlaka yoyote juu yake.
Mwanamke anatakiwa aogope kukupotezaHaya ndio madhara ya kuwa na mwanamke ambaye anaona akiachana na wewe hana cha kupoteza.
Mpenzi hachimbi biti, akimchimba biti ni kama anamuonea wivu, kitu kinachompa thamani mtu unaemuonea wivi,Ila Mambo yake ya msingi yataenda Kama anataka hio ifanya kazi
Asitishe kila kitu afu amwambie afanyiwe na boda boda wake ila hapa inahitaji Moyo mgumu sana
Situation ngumu sana ila kama bado unampenda mkeo jaribu kudeal man to man face to face na huyo boda piga biti la maana.Wakuu hali ni mbaya sana kiupande wangu, Baada kuona Boda Boda amekua ni kiungo kikubwa kwenye maisha yetu, nilianza kutumia njia za busura kumshauri mwenza wangu aache ku deal nae, Nilivyoona Busara haifanyi kazi nikalazimika kujaribu kutumilia nguvu, ILa hapa kwa kweli nimezidi kuvurugika, Shemeji yenu amegoma kabisa kuacha ki deal na huyo mtu. Amenipa makavu uso kwa uso kua hilo jambo haliwezekani, Mana huyo Boda Boda wake yeye anamfaa sana, mambo yake mengi yanakwenda kwa yeye, bila yeye mambo yatavurugika mambo mengi kwahiyo haiwezekani yeye kuacha ku deal nae.
Nashindwa kupata maamuzi sahihi ya kufanya mpaka muda huu, SImu yake ukiitizama kwa siku moja tu simu wanazopigiana na Boda Boda ni zaidi ya 10. NI nyingi mno kuliko tunazopigiana sisi wenyewe. Hatua ya mwanzo najaribu kumzuia kufanya kazi, ila mlolongo umekua mzito sana kwenye hayo masharti yake ya kukubali kuacha kazi. Lakini kivovote vile ni rahisi yeye kumuachisha kazi lakini suala la Boda Boda hata hata majadiliano alishatoa maamuzi ya No.
NImevurugwa mno kwa kweli. Sijui hata nianzie wapi
Kama una hela ya kutumia miezi mitatu tu inatosha (ila uwe haujaajiriwa)Wakuu hali ni mbaya sana kiupande wangu, Baada ya kuona Boda Boda amekua ni kiungo kikubwa kwenye maisha yetu, nilianza kutumia njia za busura kumshauri mwenza wangu aache ku deal nae, Nilivyoona Busara haifanyi kazi nikalazimika kujaribu kutumilia nguvu, ILa hapa kwa kweli nimezidi kuvurugika, Shemeji yenu amegoma kabisa kuacha ki deal na huyo mtu.
Sijui hata nianzie wapi