Mwenza wangu amegoma kuachana na BodaBoda wake

We mchane boda boda mkuu

Mwambie sitaki kukuona na mke wangu

afu kaa kimya nasisitiza kaa kimya hata akisema nini kaa kimya
Anza kufanya mipango yako kimya kimya akiuliza kaa kimya negotiation za Nini Hawa viumbe wapo billion 4 mkuu
Yeye hata asihangaike kujiuliza Boda.

Kama Ana uhakika wa kupata Mwanamke. amfukuze huyo demu....Nina uhakika 100% Bodaboda hawez kumuoa, wala hawez mtunzaz wala kulipia kodi n.k

Bodaboda anamtomba kwa sababu haingii gharama yoyote.
 
Wakuu hali ni mbaya sana kiupande wangu, Baada kuona Boda Boda amekua ni kiungo kikubwa kwenye maisha yetu, nilianza kutumia njia za busura kumshauri mwenza wangu aache ku deal nae, Nilivyoona Busara haifanyi kazi nikalazimika kujaribu kutumilia nguvu, ILa hapa kwa kweli nimezidi kuvurugika, Shemeji yenu amegoma kabisa kuacha ki deal na huyo mtu. Amenipa makavu uso kwa uso kua hilo jambo haliwezekani, Mana huyo Boda Boda wake yeye anamfaa sana, mambo yake mengi yanakwenda kwa yeye, bila yeye mambo yatavurugika mambo mengi kwahiyo haiwezekani yeye kuacha ku deal nae.

Nashindwa kupata maamuzi sahihi ya kufanya mpaka muda huu, SImu yake ukiitizama kwa siku moja tu simu wanazopigiana na Boda Boda ni zaidi ya 10. NI nyingi mno kuliko tunazopigiana sisi wenyewe. Hatua ya mwanzo najaribu kumzuia kufanya kazi, ila mlolongo umekua mzito sana kwenye hayo masharti yake ya kukubali kuacha kazi. Lakini kivovote vile ni rahisi yeye kumuachisha kazi lakini suala la Boda Boda hata hata majadiliano alishatoa maamuzi ya No.

NImevurugwa mno kwa kweli. Sijui hata nianzie wapi
Mtishie utakunywa sumu.
 
Yani huyu mwanamke amekupanda kichwani kiasi kwamba jambo dogo kama hili limekushinda?
Huyo mwanamke si anaweza kukupiga wewe?

Nakushauri umwambie mara yamwisho kuwa ana muda wa siku moja wa kuchagua kuwa nawewe au kuwa na huyo boda•

Usikubali mwanamke uliye muoa akuendeshe namna hii...hakikisha umembadilikia hadi aone kama yuko jehanamu yani mchimbe mkwara kweli na ikiwezekana muite na huyo boda umchane live.

Acha kulia lia huyu mwanamke mtandike hata vibao inaonekana anakuona wewe mwanamke mwenzie.....
 
Sijui nikuite zuzu au nikuite jina gani? Yaani unakosa busara na akili za kuamua. Hivi mnapata wapi ujinga huu. Fukuza sana sana atakuletea maradhi
 
Mwanamke anapokosa utii kwa mume wake ni dalili kuwa kuna mamlaka nyingine anayoitii kwa sababu kiuhalisia mwanamke ni mtu wa kutii......

Utii wa mwanamke kwa unazaliwa na upendo juu ya mumewe.........

Ni jambo la hatari kuishi na mwanamke asiye kutii na kufuata maagizo yako......

Kuna mambo mawili yanaweza kutokea baina yao....ni either mwanaume afe kwa msongo wa mawazo na magonjwa yasiyo ambukiza au mwanaume amuue mke wake.......

Tafakari... chukua hatua......
 
Maisha ya ndoa mpangaji ni mwanaume. Wewe ndiye unayeamua uishi na mke wako maisha ya aina gani. Hivyo kama umeamua kuishi maisha ya kutofatiliana, basi hilo jambo achana nalo fanya kama hujui. Ila kama umechagua maisha ya kufatiliana basi cha kwanza umefanya kosa kubwa mno kiufundi, hukupaswa kumwambia mke wako aachane na boda boda wake bali ungekuwa mvumilivu huku ukifatilia mwenendo wa mke wako bila kuonesha mashaka ya aina yoyote baina ya mkeo na bodaboda wake

Kufatilia huko kungekupelekea kupata jibu kuwa je huyo bodaboda kasimamia upande upi kama ndiye anayetembea na mke wako au kazi yake kutumika tu kumpeleka mkeo kwenye kuchakatwa na mabaharia wenzio ungekamilisha uchunguzi wako kwa umakini na kisha ungechukua maamuzi kulingana na ulivyopata majibu.

Haiwezekani kumwambia tu mkeo achane na bodaboda wake halafu hauna sababu za msingi zaidi ya hisia na wivu tu za labda labda labda.... , pengine....... Mkuu kuwa kichwa cha familia. Mwanaume hakurupuki bali anaanza upelelezi. Kama bodaboda wake kazi yake ni kumpeleka kuchakatwa basi elewa hata akiachana na huyo bodaboda wake atachakatwa tu. Kwa kupelekwa na bodaboda wengine.
 
Mchenjie kwelikweli,akiona uko serious,atanywea.Mchenjie mwambie kama vipi boda amuoe,uone atakavyoufyata,huyo boda uwezekano ni mkubwa kua anamgonga au anajua mishe za huyo mkeo kwa kiasi kikubwa,asikutawale huyo mwanamke,chukua maamuzi magumu,atakuona fala.
 
Yani huyu mwanamke amekupanda kichwani kiasi kwamba jambo dogo kama hili limekushinda?
Huyo mwanamke si anaweza kukupiga wewe?

Nakushauri umwambie mara yamwisho kuwa ana muda wa siku moja wa kuchagua kuwa nawewe au kuwa na huyo boda•

Usikubali mwanamke uliye muoa akuendeshe namna hii...hakikisha umembadilikia hadi aone kama yuko jehanamu yani mchimbe mkwara kweli na ikiwezekana muite na huyo boda umchane live.

Acha kulia lia huyu mwanamke mtandike hata vibao inaonekana anakuona wewe mwanamke mwenzie.....
Au,akimuona anakuja nyumbani,ajiangushe chini na kuanza kusigina miguu mchangani huku analia kwa sauti ya juu.
 
Wakuu hali ni mbaya sana kiupande wangu, Baada kuona Boda Boda amekua ni kiungo kikubwa kwenye maisha yetu, nilianza kutumia njia za busura kumshauri mwenza wangu aache ku deal nae, Nilivyoona Busara haifanyi kazi nikalazimika kujaribu kutumilia nguvu, ILa hapa kwa kweli nimezidi kuvurugika, Shemeji yenu amegoma kabisa kuacha ki deal na huyo mtu. Amenipa makavu uso kwa uso kua hilo jambo haliwezekani, Mana huyo Boda Boda wake yeye anamfaa sana, mambo yake mengi yanakwenda kwa yeye, bila yeye mambo yatavurugika mambo mengi kwahiyo haiwezekani yeye kuacha ku deal nae.

Nashindwa kupata maamuzi sahihi ya kufanya mpaka muda huu, SImu yake ukiitizama kwa siku moja tu simu wanazopigiana na Boda Boda ni zaidi ya 10. NI nyingi mno kuliko tunazopigiana sisi wenyewe. Hatua ya mwanzo najaribu kumzuia kufanya kazi, ila mlolongo umekua mzito sana kwenye hayo masharti yake ya kukubali kuacha kazi. Lakini kivovote vile ni rahisi yeye kumuachisha kazi lakini suala la Boda Boda hata hata majadiliano alishatoa maamuzi ya No.

NImevurugwa mno kwa kweli. Sijui hata nianzie wapi
Wanaume wa miaka hii tumepatwa na nini? Hivi kweli karli pitas tuliemsoma kwenye historia au mudijinga mkwawa wakifufuka leo si watatuoa cc wakidhani ni mademu?
 
Back
Top Bottom