Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Hana hamu na bodaboda 😂😂😂The Boss njoo huku!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana hamu na bodaboda 😂😂😂The Boss njoo huku!!!
yeah jioni hii nimemtuma ATM akanitolee hela 😁Umepata boda boda wako?
You are th new guy and wise like the old one.Binadamu ni mnyama kama walivyo wanyama wengine, be an alpha male and take charge. Mambo ya kusikilizana si kila sehemu yanafanya kazi.
yeah jioni hii nimemtuma ATM akanitolee hela [emoji16]
Hajui, anaijua bodaboda wanguNa PIN ambayo mumeo haijui.
1. Kwa karne hii kama umebahatika kupata mke mwenye kazi naomba hilo wazo la kutaka kumuachisha ulifikirie Vizuri kwani akiachia nafasi hataipata tena (Labda kama unavitega uchumi vya nguvu hivyo unataka kumuajiri)Wakuu hali ni mbaya sana kiupande wangu, Baada kuona Boda Boda amekua ni kiungo kikubwa kwenye maisha yetu, nilianza kutumia njia za busura kumshauri mwenza wangu aache ku deal nae, Nilivyoona Busara haifanyi kazi nikalazimika kujaribu kutumilia nguvu, ILa hapa kwa kweli nimezidi kuvurugika, Shemeji yenu amegoma kabisa kuacha ki deal na huyo mtu. Amenipa makavu uso kwa uso kua hilo jambo haliwezekani, Mana huyo Boda Boda wake yeye anamfaa sana, mambo yake mengi yanakwenda kwa yeye, bila yeye mambo yatavurugika mambo mengi kwahiyo haiwezekani yeye kuacha ku deal nae.
Nashindwa kupata maamuzi sahihi ya kufanya mpaka muda huu, SImu yake ukiitizama kwa siku moja tu simu wanazopigiana na Boda Boda ni zaidi ya 10. NI nyingi mno kuliko tunazopigiana sisi wenyewe. Hatua ya mwanzo najaribu kumzuia kufanya kazi, ila mlolongo umekua mzito sana kwenye hayo masharti yake ya kukubali kuacha kazi. Lakini kivovote vile ni rahisi yeye kumuachisha kazi lakini suala la Boda Boda hata hata majadiliano alishatoa maamuzi ya No.
NImevurugwa mno kwa kweli. Sijui hata nianzie wapi
Hawa viumbe usipowadominate lazima wakuvuruge kwa mambo yasiyo na logic, that's nature.You are th new guy and wise like the old one.
He needs to take charge of this shit.
Boda boda zidumu jamani....yeah jioni hii nimemtuma ATM akanitolee hela [emoji16]
Kubali ya kwamba umeoa Malaya mzoefu anayekudharau na kubadilika hawezi...Wakuu hali ni mbaya sana kiupande wangu, Baada kuona Boda Boda amekua ni kiungo kikubwa kwenye maisha yetu, nilianza kutumia njia za busura kumshauri mwenza wangu aache ku deal nae, Nilivyoona Busara haifanyi kazi nikalazimika kujaribu kutumilia nguvu, ILa hapa kwa kweli nimezidi kuvurugika, Shemeji yenu amegoma kabisa kuacha ki deal na huyo mtu. Amenipa makavu uso kwa uso kua hilo jambo haliwezekani, Mana huyo Boda Boda wake yeye anamfaa sana, mambo yake mengi yanakwenda kwa yeye, bila yeye mambo yatavurugika mambo mengi kwahiyo haiwezekani yeye kuacha ku deal nae.
Nashindwa kupata maamuzi sahihi ya kufanya mpaka muda huu, SImu yake ukiitizama kwa siku moja tu simu wanazopigiana na Boda Boda ni zaidi ya 10. NI nyingi mno kuliko tunazopigiana sisi wenyewe. Hatua ya mwanzo najaribu kumzuia kufanya kazi, ila mlolongo umekua mzito sana kwenye hayo masharti yake ya kukubali kuacha kazi. Lakini kivovote vile ni rahisi yeye kumuachisha kazi lakini suala la Boda Boda hata hata majadiliano alishatoa maamuzi ya No.
NImevurugwa mno kwa kweli. Sijui hata nianzie wapi
Mke mpumbavu hukimbilia kutoka nje ya ndoa na Mara nyingi hawabadilikiAnzia hapa kwanza jua nn sababu ya hii
Kuwa mwanaume,kuwa na maamuziWakuu hali ni mbaya sana kiupande wangu, Baada kuona Boda Boda amekua ni kiungo kikubwa kwenye maisha yetu, nilianza kutumia njia za busura kumshauri mwenza wangu aache ku deal nae, Nilivyoona Busara haifanyi kazi nikalazimika kujaribu kutumilia nguvu, ILa hapa kwa kweli nimezidi kuvurugika, Shemeji yenu amegoma kabisa kuacha ki deal na huyo mtu. Amenipa makavu uso kwa uso kua hilo jambo haliwezekani, Mana huyo Boda Boda wake yeye anamfaa sana, mambo yake mengi yanakwenda kwa yeye, bila yeye mambo yatavurugika mambo mengi kwahiyo haiwezekani yeye kuacha ku deal nae.