Wala sio hirizi,
Bodaboda hua kuna michezo hua wanawafanyia, na hawa wadada akishafanyiwa hio kitu hua wanakua kama vile mazombie huwezi kuwaambia kitu wakakuelea, ukikaa kwenye vijiwe vya bodaboda na kusikiliza story zao ndio utajua hawa jamaa ni shida tena especially kwa wake za watu.