Mwenza wangu hapendi tendo la ndoa

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mkuu hamna watu wajinga kama hao mademu wetu wakishaolewa na kuzaa. Hakuna cha kukosa matunzo wala nini wanakula wanashiba vyema tu.
Sio wote mkuu japo 80% hujisahau sana
 
Wazungu wana msemo wao "Marriage is the end of sex"

Kiuhalisia bila kumumunya maneno, watu mkisha oana bana, na mkaishi wote for some years, automatically kunakua hakuna jipya tena! Hakuna cha outing wala nini kitakachosaidia. Na hata ikisaidia, itasaidia kwa siku hiyo tu, baada ya hapo mnarudi kule kule. Ukiongeza na majukumu ya kimaisha, watoto nk yani sex inasahaulika kabisa hasa kwa upande wa mwanamke.

Hili tatizo huwa halina solution zaidi ya kuchepuka tuu. Tusidanganyane.
 
Nimeipenda hii
 
Labda kwako, Nina miaka 20 na mke wangu lakini hatujapoa kwa kiasi hicho
 
Mimi nimepiga chini demu wangu niliona ananiletea mambo ya kijinga alikuwa anataka nimtimizie mahitaji yake ya kiuchumi, wakati yeye hataki kunisaidia mahitaji yangu ya kimwili" tulifika mpaka mwaka hataki kunipa tendo la ndoa, ikabidi nimuache kabisa chakushangaza mpaka leo yeye hajui kwanini nimeachana nae" na dada yake ana nipigia simu na kunitumia sms sipokei wala sijibu sms zao, tatizo lako wewe ni mke wako wa ndoa kunaitaji uvumilivu.
 
Shida yenu hamjui wanawake wanataka nini na hawataki nini, mnabahatisha TU, wakati Iko formula Yao.
 
Muondolee stress zake.

Mwanamke asiye na stress hata kama hana hamu atahakikisha unamaliza hata kwa kukulambalamba. Kwanza wana wivu na woga wa kuibiwa asset yake.

Haki na wajibu. Mara ya mwisho kumtoa out ni lini? Fedha za saluni, vikoba n.k anapata kwa wakati? Kama unatimiza yote haya na hafanyi basi ana tatizo la kibiolojia na saikolojia.
 
Shida yenu hamjui wanawake wanataka nini na hawataki nini, mnabahatisha TU, wakati Iko formula Yao.
Hamna cha formula wala nini ndugu yangu. Kama wewe kuna formula ambayo inafanya kazi kwa mke wako, wewe shukuru Mungu na usidhani itafanya kazi kwa mke wangu pia.
 
Shida yenu hamjui wanawake wanataka nini na hawataki nini, mnabahatisha TU, wakati Iko formula Yao.
Mkuu kwa huyu nikijua anacho kitaka ndiyo maana nikaamua kumuacha kabisa.
 
Hayo yote mfanyie lakini kama humtoshelezi ni kazi bure. Humkojoleshi mara mbili Kaa mbali hasa anapokuwa na aliyewahi kumkojolesha
 
Nilikuwa nakesha Sasa hivi kila siku ya kazi kimoja na weekend 2
Hongera mkuu. Kama unaweza kumtia mkeo mara 30 kwa mwezi for 20 years basi unastahili kuingizwa kwenye Guinness Book of World Records!πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…