Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Sio wote mkuu japo 80% hujisahau sanaπππππ mkuu hamna watu wajinga kama hao mademu wetu wakishaolewa na kuzaa. Hakuna cha kukosa matunzo wala nini wanakula wanashiba vyema tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio wote mkuu japo 80% hujisahau sanaπππππ mkuu hamna watu wajinga kama hao mademu wetu wakishaolewa na kuzaa. Hakuna cha kukosa matunzo wala nini wanakula wanashiba vyema tu.
Mtoto Eva unaonekana unamaindi kula tunda sanaπππ nyie ndio mnatufaa masela!Piga chini, maisha yafaa nini bila tendo.....
Unataka ndio hivyo hutaki ndio hivyo,Hoja zako zinahukumu mno.
Hapa tunakisia lkn wewe umenyoosha kama vile unataarifa sahihi
Scha ukoloni basi?πππUnataka ndio hivyo hutaki ndio hivyo,
Nimeipenda hiiWanawake wakiolewa huwa wana tabia ya kuridhika na kuacha kutimiza mambo muhimu kama hayo.
Pili wanawake huwa wanakosa hisia ikiwa huwatimizii mahitaji yao..je hili likoje?.
Tatu ikiwa umeyumba kiuchumi pia huwa wanatabia kama hiyo...muda mwingi wanawaza na kuwa na stress.
Jambo muhimu..hebu jaribu kumtoa out, hakikisha anakula chochote na kunywa chochote akitakacho, uone mkirudi nyumbani kama atakunyima.
Mara nyingine wanaume tuwe wabunifu kwa hawa viumbe...miili yao husinyaa kwa vitu vidogo lkn pia huchangamka kwa vitu vidogo vya ubunifu.
ikishindikana[emoji116][emoji116][emoji116]
Kaa naye mweleze unavyojisikia...na umuonye kuwa tabia hiyo ikiendelea itakulazimu utafute. mwanamke mwingine.
Evelyn Salt TIA NENO HAPA PIA
Labda kwako, Nina miaka 20 na mke wangu lakini hatujapoa kwa kiasi hichoWazungu wana msemo wao "Marriage is the end of sex"
Kiuhalisia bila kumumunya maneno, watu mkisha oana bana, na mkaishi wote for some years, automatically kunakua hakuna jipya tena! Hakuna cha outing wala nini kitakachosaidia. Na hata ikisaidia, itasaidia kwa siku hiyo tu, baada ya hapo mnarudi kule kule. Ukiongeza na majukumu ya kimaisha, watoto nk yani sex inasahaulika kabisa hasa kwa upande wa mwanamke.
Hili tatizo huwa halina solution zaidi ya kuchepuka tuu. Tusidanganyane.
Hukupaswa kuwa jf nenda fb kwa watoto wenzio.Sasa hii id nikiona inacomment kwenye post za watu wenye ushababi wao.. ntaona kama mbu anapita kwenye sikio tu.
Ntu Nzima unaandika ujinga Ntupu...
Mimi nimepiga chini demu wangu niliona ananiletea mambo ya kijinga alikuwa anataka nimtimizie mahitaji yake ya kiuchumi, wakati yeye hataki kunisaidia mahitaji yangu ya kimwili" tulifika mpaka mwaka hataki kunipa tendo la ndoa, ikabidi nimuache kabisa chakushangaza mpaka leo yeye hajui kwanini nimeachana nae" na dada yake ana nipigia simu na kunitumia sms sipokei wala sijibu sms zao, tatizo lako wewe ni mke wako wa ndoa kunaitaji uvumilivu.Habari wakuu,
Leo nakuja na shida yangu hii labda mnaweza kunishauri. Mke wangu hapendi kufanya tendo la ndoa kabisa.
Miezi kadhaa baada ya kuoana alipata ujauzito na tabia hii ndipo nilipoanza kuiona nikajua labda kwasababu ya ujauzito. Alipojifungua na kupumzika mambo ni yale yale, hatufanyi hadi nianze mimi na kuna wakati namuomba anasema hayuko vizuri siku hiyo inapita kavu.
Nimewahi kumuuliza kwanini hajisikii, hana jibu zaidi ya kujibaraguza tu na kuacha lipite. Mwanzo wa ndoa aliwahi kuanzisha kuomba game nadhani alikuwa anatimiza funzo la somo ila kwa sasa daah!... Yani nikikaa kimya mimi hata mwezi unaisha bila kufanya lolote.
Kuna wakati nahisi kama nambaka maana naomba omba kila wakati alafu mwenzangu hana muitikio. Hapa naandika uzi huu amejilaza mwenyewe hana habari wakati tangu jumapili niliomba mchezo akanambia yupo kwenye siku zake hadi leo hata hashtuki kwamba naweza kupata tamaa ya kuchepuka.
Najiuliza ndivyo alivyoumbwa, anachepuka, ana jini mahaba au anajichua? Maana kuna siku nilimuona kama anaweweseka kitandani niliponyanyuka akashtuka sana.
Naomba maoni yenu kiutuuzima bila kejeli tafadhali.
Mmepoa kwa kiasi gani?π€£Labda kwako, Nina miaka 20 na mke wangu lakini hatujapoa kwa kiasi hicho
Shida yenu hamjui wanawake wanataka nini na hawataki nini, mnabahatisha TU, wakati Iko formula Yao.Mimi nimepiga chini demu wangu niliona ananiletea mambo ya kijinga alikuwa anataka nimtimizie mahitaji yake ya kiuchumi, wakati yeye hataki kunisaidia mahitaji yangu ya kimwili" tulifika mpaka mwaka hataki kunipa tendo la ndoa, ikabidi nimuache kabisa chakushangaza mpaka leo yeye hajui kwanini nimeachana nae" na dada yake ana nipigia simu na kunitumia sms sipokei wala sijibu sms zao, tatizo lako wewe ni mke wako wa ndoa kunaitaji uvumilivu.
Nilikuwa nakesha Sasa hivi kila siku ya kazi kimoja na weekend 2Mmepoa kwa kiasi gani?π€£
Hamna cha formula wala nini ndugu yangu. Kama wewe kuna formula ambayo inafanya kazi kwa mke wako, wewe shukuru Mungu na usidhani itafanya kazi kwa mke wangu pia.Shida yenu hamjui wanawake wanataka nini na hawataki nini, mnabahatisha TU, wakati Iko formula Yao.
Mkuu kwa huyu nikijua anacho kitaka ndiyo maana nikaamua kumuacha kabisa.Shida yenu hamjui wanawake wanataka nini na hawataki nini, mnabahatisha TU, wakati Iko formula Yao.
Hayo yote mfanyie lakini kama humtoshelezi ni kazi bure. Humkojoleshi mara mbili Kaa mbali hasa anapokuwa na aliyewahi kumkojoleshaMuondolee stress zake.
Mwanamke asiye na stress hata kama hana hamu atahakikisha unamaliza hata kwa kukulambalamba. Kwanza wana wivu na woga wa kuibiwa asset yake.
Haki na wajibu. Mara ya mwisho kumtoa out ni lini? Fedha za saluni, vikoba n.k anapata kwa wakati? Kama unatimiza yote haya na hafanyi basi ana tatizo la kibiolojia na saikolojia.
Hongera mkuu. Kama unaweza kumtia mkeo mara 30 kwa mwezi for 20 years basi unastahili kuingizwa kwenye Guinness Book of World Records!πNilikuwa nakesha Sasa hivi kila siku ya kazi kimoja na weekend 2
Hakiyanani!! Maisha bila tendo si kamilifuPiga chini, maisha yafaa nini bila tendo.....