Mwenzako akinyolewa wewe zako tia maji

Japo sijaelewa ulichokiandika, lkn sijui una shida gani!
Mbona kila wakati akili yako inawaza kuliombea mabaya tu Taifa lako!?
Au wewe sio mtanzania?
 
Yule mshamba aliyetuibia matrillion? Je alizikwa nazo?
 
Aliyeokota japo nukta moja ya jamaa hapo juu, anifahamishe, tafadhali...
Tuwaite wakuu 'MTAZAMO, JITEGEMEE na wengieo zaidi ya wanne walio'penda' yaliyoandikwa hapo waje watoe ufafanuzi wa taarifa za majungu kama hii.

Huyu mwandishi anajulikana kwa habari za kizushi zisizokuwa na msingi wowote, tena anazungukazunguka sana kupoteza lengo hata katika taarifa hizo za kizushi.

Ni kupoteza muda tu kusoma takataka za namna hii.
Lakini Jukwaa hili linakuwa Jukwaa kutokana na uwepo wa watu wa aina hii.
 
Maneno mengi umeandika ila ni pumba tupu. Hii mijitu iliyokuwa inamuabudu Magufuli imeishia kuwa michawi tu.

Kila siku wewe mzee unaandika threads za kuitakia balaa Tanzania. Unapoteza muda wako. Tanzania iko mikono salama na Rais Samia baada ya Mungu kumtoa Afriti shetani
 

"mwenye hali wangu ataishi kwa amani"

Mapambano ni muhimu na lazima, ila andiko kama hili linapoleta taharuki tunamwangalia master plan anasemaje. Anasema, kwa Imani na sio kwa jamii forums au taarifa au chochote.
 
Huu mwaka wa 3 Sasa ameanza ,ule utabiri wenu wa havuki miaka 2 ndio sawa na huu ujinga uliyoandika hapa..

Uliwahi kuona wapi Nchi yenye viashiria vya uchumi mbaya ikatangaza Maelfu ya Ajira?

Kwa Tanzania kamwe haitokaa itokee hata mpige uchuro kiasi gani,unataka sababu? Nitakuambia ukitaka kujua.
 
Huu ni upuuzi kama upuuzi mwingi uliowahi kuuleta.

Sisi tatizo letu kubwa hapa ni kuchukuliwa hatua wevi waliopo serikalini waliotajwa na CAG. Hapo ndipo lawama zetu kwa Serikali zilipo.

Lakini kusema kuwa eti Serikali imefilisika siamini. Kama kungekuwa na hiyo hali, wasingewaajiri hao wafanyakazi wapya, wangekaa kimya. Serikali imetangaza inaajiri wafanyakazi 20,000.

Tatizo la mleta mada huwa anajifanya anajua sana kumbe ni mtupu kupita watanzania wengi.

Habari pekee aliyowahi kuileta na ikatokea ni kupotezwa kwa Ben Sanane, na hiyo ni kwa sababu alikuwa sehemu ya wauaji. Alaaniwe muuji huyu Duniani na mbinguni.
 
Food security=National security!!
 

Wanaouza Ni serikali au wakulima wenyewe?
 
Dalili za msongo wa mawazo na afya ya akili huanza Poole pole

Na kutoeleweka ni moja ya dalili muhimu sana

Muone daktari
 
Takataka hii, hakuna issue hapa, Dua mbovu za timu SK equal to work done ZERO, TANZANIA HAIPO KATIKA NCHI 30 ZINAZODAIWA ZAIDI, KENYA NI YA 6,CAPE VERDE NI YA KWANZA, Tanzania kushindwa kulipa mikopo kwa wakati HAKUPO. Japo si nchi inayodaiwa kupindukia. (ACHA MAJUNGU, MCHANGIENI MWENZENU BIL 9 HUYO NI NDUGU YENU MSIMTUPE)
 
Msomali hafai kabisa kuwa waziri wa kilimo! Ni kama ilivyo tu kwa Lameck kwenye wizara inayohusiana na masuala ya chapaa.

Msomali maneno mengi vitendo na matokeo SUFURI!! Yupo hapo kama dalali wa Rostam Aziz na sio kulitumikia Taifa hili ; by the time mnazinduka mikopo yote ya kilimo imeliwa na Taifa halijitoshelezi kwa chakula!!!
 
Wewe unaangalia orodha gani ya nchi masikini zinazodaiwa sana na TANZANIA haimo! Do not give yourself phsycological food, soon this country is going to default on its debt payment like its neighbour to the south! Serikali haitaki watu wafahamu hilo ndio maana wapambe wao wanawaomba wananchi wawaombee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…