Mwenzako akinyolewa wewe zako tia maji

Mwenzako akinyolewa wewe zako tia maji

Igweeeeeeeee! Tetesi ni kwamba Watanzania tujiandae kisaikolojia na kama vile wahenga walivyowahi sema "Ukiona mwenzako ananyolewa basi wewe zako tia maji".

Ndugu za Watanzania, hapo nchi jirani pametokea jambo la kushangaza kidogo. Jambo ambalo kama ukiliangalia kwa jicho la tatu huwezi kusita kusema na mimi yanipasa kujianda kama Mtanzania. Kuna mambo yaweza kuwa ya kawaida ila kuna mambo yaweza kuwa sio ya kawaida katika Taifa na hatupaswi kufunga macho na kuimba mapambio wakati mambo sivyo kama yalivyo.

Samahani sitaki kumtaja jina, ila kwa mara ya kwanza nimesikia kiongozi mmoja mkubwa mstaafu alikisema tumuombe Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Mimi moyoni nikasema Mh! Ni masikio yangu au naota? Well nikasema sina cha kushangaa ila najua yalishasemwa na wenye macho ya kuona mbele ya Taifa hili ila wakakejeliwa na kwa busara zao wakasema endeleeni.

Kiufupi, hawa ni miamba isiotikisika wala kutafuta
kupeleka bakuli ikulu kuomba msaada, either kwa watoto wao au familia zao. Nembo yao ni Jamuhuri, damu yao ni Jamuhuri chakula chao ni Jamuhuri na malazi yao ni Jamuhuri.

Kuna watu wapo usingizi wa pono ila huko vijijini wameuza mpaka na makopa ya mihogo na mtama, yaani hamna kitu. Mtu mmoja kwa tambwe kubwa amelifikisha Taifa kwenye mahali hakuna wakusema neno ila nikilio tu.

Unauza chakula cha familia kwa jirani tena kwa bei ndogo halafu unaenda kukinunua kwa Dola mbali zaidi, then unakuja kukiuza kwa bei ya chini ili watu wako wasife njaa! Halafu mtu bado ako ofisini anajiona Genius! Serikali ipo, Rais yupo, bunge lipo na usalama wapo. Sawa nisiandike sana.

Mataifa ya jirani wana njaa, hawana ukwasi kwenye serikali zao, na watu hawana nguvu ya kununua kiasi Taifa moja hata magari watu wameshindwa kununua, jambo ambalo limefanya wanunuzi kutekeleza magari bandarini. Sio hilo tu maisha yamepanda kiasi hata mishahara serikali ameshindwa kulipa kwa miezi mitatu, na sio hivyo tu serikali imesema ikiona vipi watapunguza watumishi.

Tofauti na nchi ya Kusadikika, data sio mali ya wananchi wala hakuna jicho la tatu kuangalia ukwasi na mali ya wana kusadikika kutokana na sababu ambazo zipo nje ya uwezo wa wana kusadikika.

Hakuna jicho la tatu katika chungu, hivyo akikwambia ana pesa wewe unakubali mwanakusadikia lakini ikumbukwe uchumi sio siasa na kamwe haiwezi kuwa siasa. Ila siasa nzuri zinaendana na uchumi mzuri japo siasa chafu huaribu uchumi.

Wanakusadikika msifikiri/asifikiri kile kimetokea nyumba ya jirani hakitowakut!a Ni dhahiri shahiri kujianda, tena kujiandaa sasa sio kesho.

Tetesi zinaonyesha hilo Taifa la klKusadikika ndio linalofuata, wala hupaswi kubeza maneno haya. Najua Wanakusadikika macho yao yapo Mei Mosi japo huenda nyota wa Kusadikika asiwepo kwenye hizo sherehe na kutuma mwakilishi.

Tetesi zinasema kwamba Wanakusadikika wanasubiri kwa hamu kuongezewa mishahara ila ukweli ni kwamba huenda, naomba msininukuu, huenda hilo lisiwepo kutokana na sababu siwezi ziandika hapa kutokana na bado hazijakuwa wazi katika tetesi hizi.

Wanakusadikika wanashauriwa ni lazima wajiandae Kisaikolojia kama wenzao nchi ya jirani, tena wao kilio chao kitakuwa cha ndani kwa ndani maana hakuna chombo kitarusha habari ya ndani ya Kusadikika kama vile hakuna chombo kinajua habari ya chungu.

Tetesi zinasema kwamba Wanakusadikika wajiandae kwa kuweka vyakula na kupunguza matumizi yasio ya lazima. Wanakusadikika wanashauriwa kusikiliza Vyombo vya Habari na kufungua akaunti kwa wingi JamiiForums, maana jogoo atakapowika mara ya kwanza mpaka ya tatu taarifa hiyo itavuja kwa mara ya kwanza kwenye mtandao wa JamiiForums.

Mwisho, Wanakusadikika wanashauriwa kuto sadiki kila kitu na akili yakuambiwa wachanganye na za kwao.[emoji24][emoji120][emoji120][emoji120][emoji411][emoji3576][emoji396][emoji850][emoji850][emoji850]
Japo sijaelewa ulichokiandika, lkn sijui una shida gani!
Mbona kila wakati akili yako inawaza kuliombea mabaya tu Taifa lako!?
Au wewe sio mtanzania?
 
Alipoisoma akakasirika akafyonya kisha akasikika akisema stupidy.inaonekana alikuwa amekasirika sana.

Jirani alionekana anakopesheka sana,akakopa mpaka akataarifiwa anavuka kiwango cha kukopesheka,lakini akaendelea kukopa na uchumi uliendelea kuonekana uko juu.
Alipoingia mzalendo mtumishi wa bwana akaiona hatari iliyopo mbele,katika kufunga mkanda na kupunguza mwendo majirani mpaka mishahara imekuwa kitendawili,ndio ni lazima tupunguze kwanza huu mzigo utavunja chombo.

Sisi ndio kwaaaanza tunakopesheka[emoji16][emoji16][emoji16],na tunakopa ndio,lakini inasemekena hizo zikifika zinapotea kabisa.hazionekani kwenye system,si mkaguzi,gavana wala selemani madelu wanaziona,wote wametoa macho tu.
Mama tanzania anapigwa kusini,mashariki,magaribi,kaskazini,watu wanakula mpaka wanakula tena,wanashtuana wawahi kabla hajaja mtu mkali kweli kweli kama aliyewafitini kwa ushamba wake,ndii alikuwa mshamba kweli mpaka Mungu akaingilia kati[emoji2960][emoji2960].

Nimeambiwa sababu ya utu uzima baada ya kuwasilishwa mkeka,hali yake haikuwa nzuri ni kama pressure ilipanda,ila hakuna baya lililotokea.
Yule mshamba aliyetuibia matrillion? Je alizikwa nazo?
 
Aliyeokota japo nukta moja ya jamaa hapo juu, anifahamishe, tafadhali...
Tuwaite wakuu 'MTAZAMO, JITEGEMEE na wengieo zaidi ya wanne walio'penda' yaliyoandikwa hapo waje watoe ufafanuzi wa taarifa za majungu kama hii.

Huyu mwandishi anajulikana kwa habari za kizushi zisizokuwa na msingi wowote, tena anazungukazunguka sana kupoteza lengo hata katika taarifa hizo za kizushi.

Ni kupoteza muda tu kusoma takataka za namna hii.
Lakini Jukwaa hili linakuwa Jukwaa kutokana na uwepo wa watu wa aina hii.
 
Igweeeeeeeee! Tetesi ni kwamba Watanzania tujiandae kisaikolojia na kama vile wahenga walivyowahi sema "Ukiona mwenzako ananyolewa basi wewe zako tia maji".

Ndugu za Watanzania, hapo nchi jirani pametokea jambo la kushangaza kidogo. Jambo ambalo kama ukiliangalia kwa jicho la tatu huwezi kusita kusema na mimi yanipasa kujianda kama Mtanzania. Kuna mambo yaweza kuwa ya kawaida ila kuna mambo yaweza kuwa sio ya kawaida katika Taifa na hatupaswi kufunga macho na kuimba mapambio wakati mambo sivyo kama yalivyo.

Samahani sitaki kumtaja jina, ila kwa mara ya kwanza nimesikia kiongozi mmoja mkubwa mstaafu alikisema tumuombe Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Mimi moyoni nikasema Mh! Ni masikio yangu au naota? Well nikasema sina cha kushangaa ila najua yalishasemwa na wenye macho ya kuona mbele ya Taifa hili ila wakakejeliwa na kwa busara zao wakasema endeleeni.

Kiufupi, hawa ni miamba isiotikisika wala kutafuta
kupeleka bakuli ikulu kuomba msaada, either kwa watoto wao au familia zao. Nembo yao ni Jamuhuri, damu yao ni Jamuhuri chakula chao ni Jamuhuri na malazi yao ni Jamuhuri.

Kuna watu wapo usingizi wa pono ila huko vijijini wameuza mpaka na makopa ya mihogo na mtama, yaani hamna kitu. Mtu mmoja kwa tambwe kubwa amelifikisha Taifa kwenye mahali hakuna wakusema neno ila nikilio tu.

Unauza chakula cha familia kwa jirani tena kwa bei ndogo halafu unaenda kukinunua kwa Dola mbali zaidi, then unakuja kukiuza kwa bei ya chini ili watu wako wasife njaa! Halafu mtu bado ako ofisini anajiona Genius! Serikali ipo, Rais yupo, bunge lipo na usalama wapo. Sawa nisiandike sana.

Mataifa ya jirani wana njaa, hawana ukwasi kwenye serikali zao, na watu hawana nguvu ya kununua kiasi Taifa moja hata magari watu wameshindwa kununua, jambo ambalo limefanya wanunuzi kutekeleza magari bandarini. Sio hilo tu maisha yamepanda kiasi hata mishahara serikali ameshindwa kulipa kwa miezi mitatu, na sio hivyo tu serikali imesema ikiona vipi watapunguza watumishi.

Tofauti na nchi ya Kusadikika, data sio mali ya wananchi wala hakuna jicho la tatu kuangalia ukwasi na mali ya wana kusadikika kutokana na sababu ambazo zipo nje ya uwezo wa wana kusadikika.

Hakuna jicho la tatu katika chungu, hivyo akikwambia ana pesa wewe unakubali mwanakusadikia lakini ikumbukwe uchumi sio siasa na kamwe haiwezi kuwa siasa. Ila siasa nzuri zinaendana na uchumi mzuri japo siasa chafu huaribu uchumi.

Wanakusadikika msifikiri/asifikiri kile kimetokea nyumba ya jirani hakitowakut!a Ni dhahiri shahiri kujianda, tena kujiandaa sasa sio kesho.

Tetesi zinaonyesha hilo Taifa la klKusadikika ndio linalofuata, wala hupaswi kubeza maneno haya. Najua Wanakusadikika macho yao yapo Mei Mosi japo huenda nyota wa Kusadikika asiwepo kwenye hizo sherehe na kutuma mwakilishi.

Tetesi zinasema kwamba Wanakusadikika wanasubiri kwa hamu kuongezewa mishahara ila ukweli ni kwamba huenda, naomba msininukuu, huenda hilo lisiwepo kutokana na sababu siwezi ziandika hapa kutokana na bado hazijakuwa wazi katika tetesi hizi.

Wanakusadikika wanashauriwa ni lazima wajiandae Kisaikolojia kama wenzao nchi ya jirani, tena wao kilio chao kitakuwa cha ndani kwa ndani maana hakuna chombo kitarusha habari ya ndani ya Kusadikika kama vile hakuna chombo kinajua habari ya chungu.

Tetesi zinasema kwamba Wanakusadikika wajiandae kwa kuweka vyakula na kupunguza matumizi yasio ya lazima. Wanakusadikika wanashauriwa kusikiliza Vyombo vya Habari na kufungua akaunti kwa wingi JamiiForums, maana jogoo atakapowika mara ya kwanza mpaka ya tatu taarifa hiyo itavuja kwa mara ya kwanza kwenye mtandao wa JamiiForums.

Mwisho, Wanakusadikika wanashauriwa kuto sadiki kila kitu na akili yakuambiwa wachanganye na za kwao.😭🙏🙏🙏📜✉️📨🤐🤐🤐
Maneno mengi umeandika ila ni pumba tupu. Hii mijitu iliyokuwa inamuabudu Magufuli imeishia kuwa michawi tu.

Kila siku wewe mzee unaandika threads za kuitakia balaa Tanzania. Unapoteza muda wako. Tanzania iko mikono salama na Rais Samia baada ya Mungu kumtoa Afriti shetani
 
"mwenye hali wangu ataishi kwa amani"

Mapambano ni muhimu na lazima, ila andiko kama hili linapoleta taharuki tunamwangalia master plan anasemaje. Anasema, kwa Imani na sio kwa jamii forums au taarifa au chochote.
 
Huu mwaka wa 3 Sasa ameanza ,ule utabiri wenu wa havuki miaka 2 ndio sawa na huu ujinga uliyoandika hapa..

Uliwahi kuona wapi Nchi yenye viashiria vya uchumi mbaya ikatangaza Maelfu ya Ajira?

Kwa Tanzania kamwe haitokaa itokee hata mpige uchuro kiasi gani,unataka sababu? Nitakuambia ukitaka kujua.
 
Huu ni upuuzi kama upuuzi mwingi uliowahi kuuleta.

Sisi tatizo letu kubwa hapa ni kuchukuliwa hatua wevi waliopo serikalini waliotajwa na CAG. Hapo ndipo lawama zetu kwa Serikali zilipo.

Lakini kusema kuwa eti Serikali imefilisika siamini. Kama kungekuwa na hiyo hali, wasingewaajiri hao wafanyakazi wapya, wangekaa kimya. Serikali imetangaza inaajiri wafanyakazi 20,000.

Tatizo la mleta mada huwa anajifanya anajua sana kumbe ni mtupu kupita watanzania wengi.

Habari pekee aliyowahi kuileta na ikatokea ni kupotezwa kwa Ben Sanane, na hiyo ni kwa sababu alikuwa sehemu ya wauaji. Alaaniwe muuji huyu Duniani na mbinguni.
 
Igweeeeeeeee! Tetesi ni kwamba Watanzania tujiandae kisaikolojia na kama vile wahenga walivyowahi sema "Ukiona mwenzako ananyolewa basi wewe zako tia maji".

Ndugu za Watanzania, hapo nchi jirani pametokea jambo la kushangaza kidogo. Jambo ambalo kama ukiliangalia kwa jicho la tatu huwezi kusita kusema na mimi yanipasa kujianda kama Mtanzania. Kuna mambo yaweza kuwa ya kawaida ila kuna mambo yaweza kuwa sio ya kawaida katika Taifa na hatupaswi kufunga macho na kuimba mapambio wakati mambo sivyo kama yalivyo.

Samahani sitaki kumtaja jina, ila kwa mara ya kwanza nimesikia kiongozi mmoja mkubwa mstaafu alikisema tumuombe Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Mimi moyoni nikasema Mh! Ni masikio yangu au naota? Well nikasema sina cha kushangaa ila najua yalishasemwa na wenye macho ya kuona mbele ya Taifa hili ila wakakejeliwa na kwa busara zao wakasema endeleeni.

Kiufupi, hawa ni miamba isiotikisika wala kutafuta
kupeleka bakuli ikulu kuomba msaada, either kwa watoto wao au familia zao. Nembo yao ni Jamuhuri, damu yao ni Jamuhuri chakula chao ni Jamuhuri na malazi yao ni Jamuhuri.

Kuna watu wapo usingizi wa pono ila huko vijijini wameuza mpaka na makopa ya mihogo na mtama, yaani hamna kitu. Mtu mmoja kwa tambwe kubwa amelifikisha Taifa kwenye mahali hakuna wakusema neno ila nikilio tu.

Unauza chakula cha familia kwa jirani tena kwa bei ndogo halafu unaenda kukinunua kwa Dola mbali zaidi, then unakuja kukiuza kwa bei ya chini ili watu wako wasife njaa! Halafu mtu bado ako ofisini anajiona Genius! Serikali ipo, Rais yupo, bunge lipo na usalama wapo. Sawa nisiandike sana.

Mataifa ya jirani wana njaa, hawana ukwasi kwenye serikali zao, na watu hawana nguvu ya kununua kiasi Taifa moja hata magari watu wameshindwa kununua, jambo ambalo limefanya wanunuzi kutekeleza magari bandarini. Sio hilo tu maisha yamepanda kiasi hata mishahara serikali ameshindwa kulipa kwa miezi mitatu, na sio hivyo tu serikali imesema ikiona vipi watapunguza watumishi.

Tofauti na nchi ya Kusadikika, data sio mali ya wananchi wala hakuna jicho la tatu kuangalia ukwasi na mali ya wana kusadikika kutokana na sababu ambazo zipo nje ya uwezo wa wana kusadikika.

Hakuna jicho la tatu katika chungu, hivyo akikwambia ana pesa wewe unakubali mwanakusadikia lakini ikumbukwe uchumi sio siasa na kamwe haiwezi kuwa siasa. Ila siasa nzuri zinaendana na uchumi mzuri japo siasa chafu huaribu uchumi.

Wanakusadikika msifikiri/asifikiri kile kimetokea nyumba ya jirani hakitowakut!a Ni dhahiri shahiri kujianda, tena kujiandaa sasa sio kesho.

Tetesi zinaonyesha hilo Taifa la klKusadikika ndio linalofuata, wala hupaswi kubeza maneno haya. Najua Wanakusadikika macho yao yapo Mei Mosi japo huenda nyota wa Kusadikika asiwepo kwenye hizo sherehe na kutuma mwakilishi.

Tetesi zinasema kwamba Wanakusadikika wanasubiri kwa hamu kuongezewa mishahara ila ukweli ni kwamba huenda, naomba msininukuu, huenda hilo lisiwepo kutokana na sababu siwezi ziandika hapa kutokana na bado hazijakuwa wazi katika tetesi hizi.

Wanakusadikika wanashauriwa ni lazima wajiandae Kisaikolojia kama wenzao nchi ya jirani, tena wao kilio chao kitakuwa cha ndani kwa ndani maana hakuna chombo kitarusha habari ya ndani ya Kusadikika kama vile hakuna chombo kinajua habari ya chungu.

Tetesi zinasema kwamba Wanakusadikika wajiandae kwa kuweka vyakula na kupunguza matumizi yasio ya lazima. Wanakusadikika wanashauriwa kusikiliza Vyombo vya Habari na kufungua akaunti kwa wingi JamiiForums, maana jogoo atakapowika mara ya kwanza mpaka ya tatu taarifa hiyo itavuja kwa mara ya kwanza kwenye mtandao wa JamiiForums.

Mwisho, Wanakusadikika wanashauriwa kuto sadiki kila kitu na akili yakuambiwa wachanganye na za kwao.[emoji24][emoji120][emoji120][emoji120][emoji411][emoji3576][emoji396][emoji850][emoji850][emoji850]
Food security=National security!!
 
Wanaouza Ni serikali au wakulima wenyewe?
 
Dalili za msongo wa mawazo na afya ya akili huanza Poole pole

Na kutoeleweka ni moja ya dalili muhimu sana

Muone daktari
 
Takataka hii, hakuna issue hapa, Dua mbovu za timu SK equal to work done ZERO, TANZANIA HAIPO KATIKA NCHI 30 ZINAZODAIWA ZAIDI, KENYA NI YA 6,CAPE VERDE NI YA KWANZA, Tanzania kushindwa kulipa mikopo kwa wakati HAKUPO. Japo si nchi inayodaiwa kupindukia. (ACHA MAJUNGU, MCHANGIENI MWENZENU BIL 9 HUYO NI NDUGU YENU MSIMTUPE)
 
Msomali hafai kabisa kuwa waziri wa kilimo! Ni kama ilivyo tu kwa Lameck kwenye wizara inayohusiana na masuala ya chapaa.

Msomali maneno mengi vitendo na matokeo SUFURI!! Yupo hapo kama dalali wa Rostam Aziz na sio kulitumikia Taifa hili ; by the time mnazinduka mikopo yote ya kilimo imeliwa na Taifa halijitoshelezi kwa chakula!!!
 
Takataka hii, hakuna issue hapa, Dua mbovu za timu SK equal to work done ZERO, TANZANIA HAIPO KATIKA NCHI 30 ZINAZODAIWA ZAIDI, KENYA NI YA 6,CAPE VERDE NI YA KWANZA, Tanzania kushindwa kulipa mikopo kwa wakati HAKUPO. Japo si nchi inayodaiwa kupindukia. (ACHA MAJUNGU, MCHANGIENI MWENZENU BIL 9 HUYO NI NDUGU YENU MSIMTUPE) Wewe
Wewe unaangalia orodha gani ya nchi masikini zinazodaiwa sana na TANZANIA haimo! Do not give yourself phsycological food, soon this country is going to default on its debt payment like its neighbour to the south! Serikali haitaki watu wafahamu hilo ndio maana wapambe wao wanawaomba wananchi wawaombee.
 
Back
Top Bottom