Mti wa Chuma
JF-Expert Member
- Jul 2, 2015
- 331
- 99
Basi sawa..simpi dozi ya Paka..ntampa ya kuku..Nagusisha tuJuu Juu tu. Wala haihitaji kuvuta hisia saaana..nakukumbusha tu ni Kuonja.
mmh mbona unanitisha... ngoja nikiangakie na changu!!!
Kisaikolojia yes.
nakupenda binti
Msaada
Tayar Kashaathirika Kisaikolojia Mpaka Anaandika Uzi Mchezo
Mmh usiwahadae wenzako, hako chako kako mzigoni kila siku mpaka kimeanza kupukutika
Nakupenda pia shemeji angu,
Utajaa maji
Kiafya hakuna madhara yeyote ila kisaikolojia kuna madhara makubwa.
-Utakuwa haupo makini kiutendaji wa shughuli zako,
-Utakuwa unahamu mno/kupoteza hamu
-Kuwa mtu wa hasira nyumbani, ofini au popote
-Kupoteza kumbukumbu haraka. Unaambiwa kitu ndani ya dk5 umesahau
-Kujiona mpweke/una hadhi kuliko wenzako kwa maana y kuwa na maringo.
Ni hayo tu. Ila kiafya haina madhara.
Usiposex mda mrefu unakuwa mtamu kama muwa. Ukifa badala ya funza kukufuata wanakufuata nyuki na wadudu wengine wapenda utamu