Mwenzenu na miaka miwili sijakutana kimwili, je kuna athari zozote zinaweza tokea?

Mwenzenu na miaka miwili sijakutana kimwili, je kuna athari zozote zinaweza tokea?

Kiafya hakuna madhara yeyote ila kisaikolojia kuna madhara makubwa.
-Utakuwa haupo makini kiutendaji wa shughuli zako,
-Utakuwa unahamu mno/kupoteza hamu
-Kuwa mtu wa hasira nyumbani, ofini au popote
-Kupoteza kumbukumbu haraka. Unaambiwa kitu ndani ya dk5 umesahau
-Kujiona mpweke/una hadhi kuliko wenzako kwa maana y kuwa na maringo.
Ni hayo tu. Ila kiafya haina madhara.
 
Kwani, ulianza mambo ya xes ukiwa infant? Kama ilikuwa xawa hadi ukafikia tym ya kukatiwa, miaka 2 ni nini?
 
Yaani Mpaka Umeandika Uzi Huu,ujue Tayar Una Tatizo Na Madhara Yashakukumba Tayar..Cha Msing We Ukiona Wanaume Wanazngua Tumia Ndz,tango,karot Na Mashne Nyngne Kama Hzo....
 
Tayar Kashaathirika Kisaikolojia Mpaka Anaandika Uzi Mchezo

Kabisaaaa, maana angekuwa hajaathirika walaaa asingewaza kuandika uzi huu, amamiss na itakuwa anaiwaza sana, hapana chezea tamuu.
 
Mmh usiwahadae wenzako, hako chako kako mzigoni kila siku mpaka kimeanza kupukutika

hahha kupukutika haiwezekan, ndo kinazidi kuota misuli ya utamu lol!!! uliangalia vibaya siku ile...
 
Kiafya hakuna madhara yeyote ila kisaikolojia kuna madhara makubwa.
-Utakuwa haupo makini kiutendaji wa shughuli zako,
-Utakuwa unahamu mno/kupoteza hamu
-Kuwa mtu wa hasira nyumbani, ofini au popote
-Kupoteza kumbukumbu haraka. Unaambiwa kitu ndani ya dk5 umesahau
-Kujiona mpweke/una hadhi kuliko wenzako kwa maana y kuwa na maringo.
Ni hayo tu. Ila kiafya haina madhara.

Yah Tru we mnyama!
 
Back
Top Bottom