Mwenzenu nimeachwa kweli!

...Kama una Uhakika kesho anarudi na kuomba Msamaha, Sasa Wasiwasi wa Nini? Hujiamini??
 
Umeongea vema Sana,
Nataman ukawe kungwi ukamfunde shemej yako mmoja ana mdomo Kama pistol
 
Maneno mazur na yenye busara Sana[emoji120]
 
Hiyo kesho wewe ndiyo utabembeleza maana jamaa yuko serious kakuacha.
Na kwa taatifa yako baada ya msg hiyo ya talaka alikamata kuku moja ya kienyeji akatafuna kutoa hasira.
 
Comments zako nazifanyia lamination. Nimekupenda sana.
Fanyia kazi maneno ya huyu dada, yatakusaidia Sana mamy K

MKE Wang anaishi kama alivosema huyo,
Japo namcheat sana ila namheshimu mno na malengo nafanya nae Sana.

Sifikirii hata siku moja kumuacha Wala kumpa talaka, namchukulia Ni mke Bora maishani mwangu mwenyez mungu kanijalia.

Hivi ndivyo mwanamke anavopaswa kuishi
 
Halafu nyie wanawake ndio tabia zenu unampanikisha mtu halafu unamwambia akuache wewe unadhani atafanya nini zaidi ya hivyo...
Anyway Talaka haitolewi kwa hasira bado haijakua halali akija jikaushe umuone kwamba atakufukuza au vipi
 
😂😂😂😂pole shoga angu sikuhizi hawataniwi mimi mwenyewe nimeachwa jana kimasihara
 
Mamy K talaka ni mpaka uwe katika siku ambazo umetwaharika kutoka kwenye hedhi na hajakugusa, akikugusa kisha akakwambia nimekuacha talaka haipiti.

na akiwa na makusudio ya kukuacha kisha ukaingia period halafu ukamaliza mkafahamiana basi mpaka uingie tena na utoke asikuguse ndio akuache talaka moja halafu eda unakaa hapohapo kwake kama mke na mume vilevile isipokuwa tu hamfanyi mambo ya watu wakubwa si mmetaka kuachana? haya tizamaneni hapo miezi mitatu.
 
naomba lift ya kukupeleka na kukuhifadhi kabla hujafika kwenu
 
Marehemu Sheikh Gologosi aliwahi semema kwenye Uislam mambo mawaili hayana utani ukishayasema yanakuwa
1. shahada- kuwa mwnyezi Mungu ndiye Muumba na Mtume Mohamed (SAW) ndiye mtume wake wa mwisho-tayari wewe mwislam
2. ukisema nakuacha chukua talaka yako- hakuna ndoa hapo ndiyo tayari
 
Toka nijiunge jamii forum sijawahi kuona andiko bora kutoka kwa mwanamke humu kama hilo andiko lako
 
...Kama una Uhakika kesho anarudi na kuomba Msamaha, Sasa Wasiwasi wa Nini? Hujiamini??

Wasiwasi wangu naogopa isije kuwa tunazini humu ndani, Kama ni talaka kweli mi nisepe.
 
Mwenyewe natamani iwe kweli, Ila tatizo kashaanza kunibembeleza anasema hajamaanisha....hajaniacha.
Ndo Naomba ushauri jamani hiyo si ni red card kabisa? Mwenyewe nataka kusepa mazima, kanichosha
Mwambie, bi sitaki nataka. Mara nasikia kisukari na covid, mara unataka uachwe!

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…