Niliongea na mtu recently akanishauri kuwa a woman is the greatest person who benefits katika familia. Na ndo maana kuna dada mmoja aliandika humu kuwa mama ake alimwambia kama kwenye ndoa unakula vizuri basi tulia. Usipaparike at all. Vingine ni vya kupita.
Mwanamke ndie hufaidika. Watoto watasomeshwa vizuri, wewe utakula utalala..wale watoto wanapokuwa mwanamke ndo utafaidika. Mtoto hata siku moja hamsahau mama labda tu kama hajielewi. Lakini mtoto ataenda huko akipata 10, 20 anamrushia mama anywe supu. Na hata akiwa anaenda kusalimia nyumban atabeba kitenge cha mama. Ni wachache huwa wanabeba labda suti, koti, sandal za baba lakin mama ndie benefactor. Sasa mwanamke huoni kuwa ukiwa na hekima ni kwa faida yako na ya kizazi chako baadae. Tatizo tunaruhusu mioyo yetu itupeleke race sana. Kiasi kwamba hatureason hata kidogo. Hii love inatupelekesha sana.
I bet its high time kumpa mwanaume space..uhuru. simaanishi udismind.. namanisha mpe space. Kuna mtu aliandika kuwa kama unataka heshima acha watu huru, utaona wanakosa ile nguvu ya kuringa kwako. Stop seeking happiness in your spouse utakufa unajiona. Chochea furaha ndani yako mwenyewe. Kabla hujakutana nae uliipata wapi furaha??? Watu hupenda vitu adimu. Anapoona unaweza kuwa na furaha bila yeye..atakuheshimu. haya maneno aliandika mwanaume mmoja hukuhuku JF. Give your spouse some space. Acha kuwa snoopy unafatilia simu sijui, unataka jua yuko wapi na nani, wengine mmeajiri mabodaboda kuwafatilia waume zenu..smh. tumejipa kazi ya upelelezi wanawake.
Haisaidii..inatuharibu psychology zetu. At the end. Umechimbua mambo huwezi tena yafukia. Linabaki kovu milele. Karma haikosei address. Kama anafanya jambo baya kwako...yatakuja tu kuvumbuka. Hakuna mtu alie faithful kwa Mungu af Mungu akamuaibisha. The word of God says..hakuna mwenye haki atakayeachwa kamwe.. haki yako itakawia kidogo lakini utaipata. Real happiness inatoka kwa Mola pekee.
Naongea from experience