kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Mwewe ni ndege mwenye akili, weledi na nguvu kuliko kunguru ama njiwa. Mwewe anaweza kutatiza viumbe wengine kama kuku, nyoka na wanyama wadogowadogo. Hivyo, Mwewe ni alama muhimu kwenye mataifa makubwa yenye mafanikio makubwa kama Marekani na makampuni makubwa ya kibiashara. Siku ukiona mwewe umekutembelea wewe sehemu ulipo ujue kuwa wewe una nguvu nyingi sana kinyota, tofauti na kutembelewa na kunguru, bundi, njiwa au bata. Njiwa na bundi wanatumiwa sana katika hatakati za kijini/kichawi, sio mwewe/tai.
Nasikia kuwa hivi karibuni mwewe kafika kwenye mazoezi ya Yanga wasichana kusalimia na kubeba zawadi na kuondoka nayo. Hii ni nzuri sana sana sana kwa timu. Naomba kwa kitendo hiki Yanga ifikirie kuweka alama ya mwewe/tai kwenye jezi yake ya timu japo kwenye mikono ya jezi na pajani mwa bukta kuheshimu ujumbe huu uliofikishwa kwa na mwewe kutoka kwa mwenyezimungu.