Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Tarehe nane kipigo kiko palepale, mtake msitake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tarehe nane kipigo kiko palepale, mtake msitake
Afadhali ya Yanga wenye akili ni wawili kuliko huko ni MAMBUMBU WOTEYanga wenye akili ni wawili tu, Kikwete na Sunday Manara
Mmejaa ushirikina tu.Mwewe ni ndege mwenye akili, weledi na nguvu kuliko kunguru ama njiwa. Mwewe anaweza kutatiza viumbe wengine kama kuku, nyoka na wanyama wadogowadogo. Hivyo, Mwewe ni alama muhimu kwenye mataifa makubwa yenye mafanikio makubwa kama Marekani na makampuni makubwa ya kibiashara. Siku ukiona mwewe umekutembelea wewe sehemu ulipo ujue kuwa wewe una nguvu nyingi sana kinyota, tofauti na kutembelewa na kunguru, bundi, njiwa au bata. Njiwa na bundi wanatumiwa sana katika hatakati za kijini/kichawi, sio mwewe/tai.
Nasikia kuwa hivi karibuni mwewe kafika kwenye mazoezi ya Yanga wasichana kusalimia na kubeba zawadi na kuondoka nayo. Hii ni nzuri sana sana sana kwa timu. Naomba kwa kitendo hiki Yanga ifikirie kuweka alama ya mwewe/tai kwenye jezi yake ya timu japo kwenye mikono ya jezi na pajani mwa bukta kuheshimu ujumbe huu uliofikishwa kwa na mwewe kutoka kwa mwenyezimungu.
Shida ni kule mabilioni yanapotoka!yanachotwa tu kwa nini wasifanye maigizo!Bajeti ya Club kwenye usajili ni wa mabilion halafu matarajio ya ushindi yajikite kwenye miewe (sijui kama nimepatia wingi wa neno Mwewe)
Inawezekana pia Mtani mana mshaanza figisu figisu. LolTarehe nane kipigo kiko palepale, mtake msitakeView attachment 3259978
baada ya mwewe kudunda sasa wanaondoka na Alli Kamwe kabla ya trh 8. Ni mahangaiko tu, Alli ni kijana mdogo sana, hata akiondoka Yanga itabaki; supu na mabango yataendelea viiileviiiileee kumuenzi.Inawezekana pia Mtani mana mshaanza figisu figisu. Lol
Dah we acha tu mwananchi tusubiri tr 8 tumle mtu kichwaMkuu sio Kolo huyu kweli?
Kuna watu zamani walikuwa wakiamini mvua ikinyesha siku ya mechi wanashinda mechi. Lakini siku hizi wameachana na ujinga huo baada ya kupokea vichapo hata mvua ikinyesha ya mawe.Dah we acha tu mwananchi tusubiri tr 8 tumle mtu kichwa