Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Lini?
Nawazungumzia wachawi 51mba..!! Maana wewe ulivyoandika Yanga washirikina, hili la faini kisa uchawi huko SA inaonekana ulikuwa hulijui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lini?
Kuna watu Wana mawazo kuwa mwewe katumwa na wachawi kwenye mazoezi, ni upuuzi.Mi nikisoma post najua tu huyu mpuuzi,mshirikina,mvivu hana akili,
Yaan mwewe kuonekana sehem ni ishara ya nguvu? Mara bundi ni mchawi sasa tufanyaje sisi?
YaMnahangaika kusjili wachezaji Tena mje muwalipe + waganga.
SI muwasajili waganga mmalize kujitesa.
Ya Nini kujtesa Mara mbilimbili.
Hivyo ni vitisho tu lakini ukweli ni kuwa uchawi hausaidii kitu kwenye mpira ni fikra potofu vinginevyo Nigeria wangekuwa wanachukua hadi World Cup. Mimi ni shabiki wa Simba lakini wakifanya huo ujinga nawachana live.Simba walironga kule south mchana kweupe katikati ya uwanja ndio washindwe kiroga kwa mkapa?
Nilisema ..lakin narudia kua tarehe 8 tutaona kati ya wachawi wa pangani na mtwara na Allah Subbnallah nani ana nguvu.Mungu ana mambo mengi ya kufanya wachezaji kawapa pumzi na nguvu za kucheza siku hiyo basi waache wakatumie uwezo,akili na maarifa yao wayapambanie,ubora wa timu,kipaji cha mtu mmoja mmoja na bahati vyote vitaamua mechi, sio kila mala Allah Allah mfyuuuuuuu pumbavu
Hapana, vijiji vya panganiWaliroga kule sauzi
Kamati ya ufundi imejaa wazee wa kiMila hapa unaleta habari za Psycho 😂Vita ya kisaikolojia inawaua wajinga TU. Mwewe ni alama ya uimara sio unyonge, endeleeni kuleta myewe Tanga.
Ya
Uchawi ni fikra kwa anaeamini na kuuogopa uchawi. Uchawi unachezwa na psychology ya "aliyerogwa" vinginevyo hakuna uchawi kwa asiyeuamini. Kama tungekuwa na uchawi basi tungewaroga wakoloni waliotuhangaisha kwa karne nzima.Hivyo ni vitisho tu lakini ukweli ni kuwa uchawi hausaidii kitu kwenye mpira ni fikra potofu vinginevyo Nigeria wangekuwa wanachukua hadi World Cup. Mimi ni shabiki wa Simba lakini wakifanya huo ujinga nawachana live.
Pangani ipo sauziHapana, vijiji vya pangani
Mkuu sio Kolo huyu kweli?Hii nchi kuanzia rais hadi raia ni shida tupu [emoji1787]
Uchawi ni vile ubongo wako utakavyochakata vitendo vya kichawi. Vitendo vya kichawi ni vile vitendo ambavyo sio common kwenye jamii husika; vinatumia uncommon sense.Mkuu sio Kolo huyu kweli?