Mwewe kufika mazoezi ya Yanga ni ushindi mkubwa kwa Yanga.

Mmejaa ushirikina tu.
Bila ushirikina ninyi ni wa kawaida saizi ya Tabora united.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Bajeti ya Club kwenye usajili ni wa mabilion halafu matarajio ya ushindi yajikite kwenye miewe (sijui kama nimepatia wingi wa neno Mwewe)
Shida ni kule mabilioni yanapotoka!yanachotwa tu kwa nini wasifanye maigizo!

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Inawezekana pia Mtani mana mshaanza figisu figisu. Lol
baada ya mwewe kudunda sasa wanaondoka na Alli Kamwe kabla ya trh 8. Ni mahangaiko tu, Alli ni kijana mdogo sana, hata akiondoka Yanga itabaki; supu na mabango yataendelea viiileviiiileee kumuenzi.
 
Dah we acha tu mwananchi tusubiri tr 8 tumle mtu kichwa
Kuna watu zamani walikuwa wakiamini mvua ikinyesha siku ya mechi wanashinda mechi. Lakini siku hizi wameachana na ujinga huo baada ya kupokea vichapo hata mvua ikinyesha ya mawe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…