Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Mwezi wa tatu, tarehe 17 Tanzania ilipata uhuru wake rasmi. Uhuru wa kiroho na kiakiliHuu ni mwezi wa Taifa, embu tukumbushe kidogo Tarehe 17 March Mwaka 2021
Mungu fundi kila wakati.Mwezi wa tatu, tarehe 17 Tanzania ilipata uhuru wake rasmi. Uhuru wa kiroho na kiakili
Anajibu maombi kwa wakati sahihi kabisaMungu fundi kila wakati.
Subiri wajane na yatima wa Sukuma gang waje kukushambulia, unaharibu legacy ya mungu wao.😄😄lile dubwana la Chato lilikuwa linaipeleka nchi kubaya
Mwezi wa March ni mwezi wa haki kwa taifa la Tanzania.
Mwezi March Mungu amekuwa akiwapa kicheko Watanzania wanaoonewa na kukandamizwa na udhalimu wa watawala dhalimu.
Mwezi March mwaka jana taifa lilijawa na milango wazi ya haki, usawa, na furaha kwa watu wengi.
Waliofungwa kwa kusingiziwa walifurahi, waliobambikiwa mzigo wakodi wakafurahi, waliokuwa wamepewa kesi za uhujumu uchui na utakatishaji wakafurahi.
Mwaka huu mwezi March tena, Mungu ametufurahisha wapenda haki.
Aliyekuwa ndani kwa kesi ya mchongo ya ugaidi yuko huru. Yuko huru kwelikweli.
Unamsingizia mtu ugaidi, eti anataka kulipua nchi, hujamkamata na vilipuzi.
Eti anataka kukata miti kutoka Dar hadi Mbeya, hujamkamata na msumeno, panga wala shoka, je hiyo miti angeikata kwa Bluetooth?
Mungu endelea kutufurahisha mwezi March
Mwezi wa tatu, tarehe 17 Tanzania ilipata uhuru wake rasmi. Uhuru wa kiroho na kiakili
HakikaTena bila ya kumwaga damu!
Mmeshindwa kuuthibitisha ugaidi wakena mwezi 2 kwetu ni mwezi wa kuchinja na kufurahia gaidi mbowe kuwekwa rumande ni mwezi utakumbukwa kwa heshima zote