Mwezi ujao napata milioni 30. Naomba ushauri namna ya kuzitumia

Sawa nakubaliana na wewe, swali ni kuwa maana yako nini? Kama hauna nia ya kutoa msaada wowote ule ni kwa nini uandike namna unavyo pata pesa wakati huo huo huna nia ya kumuelekeza mtu vile unafanya? Kwa nini usikae kimya tu yaani ukasoma kisha ukala kona maana huna msaada wowote na hauko tayari kutoa, sasa kwa nini utoe maelezo mengi vile unaingiza pesa!

Unataka kumtamanisha ama kutamanisha watu ili iweje? Kuna harufu ya utapeli hapa
#No malice to anybody. If you don't understand what that means then better style up.
 
I'm not here to prove a point to you or anybody else. Sitafuti mshirika, ndio nlianza kwa kusema "Ningekua namfahamu" . Kutomfahamu tayari kunamtoa nje ya ushauri wangu lkn Bado namuonea huruma kwasabb ya biashara kicha ambazo nlisema ziko saturated ( Yaani Kila mtu anafanya) ambazo anashauliwa kufanya, kupoteza mtaji wake ni rahisi kwa asilimia zaidi ya 70. So ndugu yangu usiwe na hofu mm sitafuti mshirika kwa nataka nimtapeli, aongee na matajir ambao Yuko karibu nao labda wasipokua wachoyo watampa connection.
 
Nakataa ndugu. Biashara nzuri tu ukiwa committed. Hakuna ushirikina wala nini. Nimeifanya na miaka mingi ila sio siriaz kivile just ya kupunguza makali ya maisha.
Weka mkataba akizingua chukua chuma yako mpe mwingine.
 
Kwahiyo nia yako ilikuwa kumtamanisha? Maana huna nia ya kumweleza unacho fanya
 
Nunua bodaboda 10 uwape vijana wakuchumie hela, boda moja kwa siku 12,000 tzs kumi ni 120,000.
Kwa mwezi ni 3,600,000 tzs. Yaani utakua na uwezo wa kuongeza boda mpya kila mwezi mpaka uwezo wako wa kuzi control utakaposhindwa.
Hii kazi ya boda Ina wenyewe, kuwa maintain vijana kumi usichukulie poa, ambao wamefanya wanajua
 
🤣🤣🤣🤣
 
Kuweka pesa UTT huku hiyo pesa ndio unategemea ikuzalishie na upo na 20-40 yrs huko ni kuchezea pesa.
 
Kwa kuwa bado huna wazo la biashara,ili usipoteze pesa nunua bajaji 3 ziweke barabarani,kila siku utapata 60,000@30=1,800,000 baada ya Mwaka na nusu utapata 30M yako na bajaji ju-hii risk ni ndogo .Kwa muda huo wote utakuwa umisha pata wazo la biashara ya kufanya.
 
Nunua bodaboda 10 uwape vijana wakuchumie hela, boda moja kwa siku 12,000 tzs kumi ni 120,000.
Kwa mwezi ni 3,600,000 tzs. Yaani utakua na uwezo wa kuongeza boda mpya kila mwezi mpaka uwezo wako wa kuzi control utakaposhindwa.
Lakini jua sio Kazi rahisi kucontrol vichwa vya watu 10 Mkuu
 
Tafuta connection mjomba. Connection za maana hazitolewi huku.
Embu fanya tu upotezee unanisumbia kukujibu
#No malice to anybody
Acha utapeli jomba, naona unajitetea sana ili uaminike umtapeli mwenzio.
 
Acha utapeli jomba, naona unajitetea sana ili uaminike umtapeli mwenzio.
Uwe na uhakika na unachokizungumza. Sio Kila mtu ana tabia kama zako, na mm sijasema nataka kufanya biashara yoyote nae. Qmmmk.
# No malice to anybody
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…