Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Thibitisha kwamba una akili timamu.Ndio nina!. Unawezaje kuthibitisha kuwa wewe Huna shida ya kielimu au kiakili kwa haya unayoyaandika katika Karne hii!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thibitisha kwamba una akili timamu.Ndio nina!. Unawezaje kuthibitisha kuwa wewe Huna shida ya kielimu au kiakili kwa haya unayoyaandika katika Karne hii!?
Thibitisha kwamba una akili timamu.
Thibitisha kwamba una akili timamu.Naweza kuthibitisha kwamba mimi nina akili timamu na wewe ni ""chizi"" sababu natambua nimekuuliza swali ujibu ila na wewe unaniuliza swali! Chizi huwa hajielewi..
Thibitisha kwamba una akili timamu.
Thibitisha kwamba una akili timamu.Mpaka hapa tambue kuwa Umeshaonyesha kuwa una kasoro fulani. Wenye Akili na hekima wanaweza Kung'amua hili. Bye bye
Katika maelezo nimetaja kiwango cha size ya kiini cha Dunia ukilinganisha na radius yake ambacho ni approximately 55%. Pia nikataja kiwango cha size ya kiini cha Mercury ukilinganisha pia na radius yake, range kati ya asilimia 75 hadi 85. Range hiyo ni kutokana na vyanzo mbalimbali vya kitafiti.- Earth's radius ni 6371km, na core ina 3471km which is slightly higher than 50% .. Venus ina radius ya 6052km, na core yake ina radius ya 3200km which is also slightly higher than 50% , Hizi hesabu hazilingani kabisa na maelezo yako hapo.
Mercury pekee ndio inaonyesha silicate- metal ratio ya utofauti na paka leo bado wanasayansi wanatafuta sababu ya hilo. Hypothesis zipo ndio kama uliyoisema hapo lakini haimaanishi ndicho kilicho tokea.
- Pia unaposema ocean of magma, can u account for the sources of heat in the moon that would've caused the ocean of magma 85 million years after the solar system was formed?
Source ya heat pekee inayoweza kutengeneza hiyo ocean of magma ni heat from when the planets were formed, ambayo kulingana na hypothesis mwezi hauwezi kua nayo maana haukuwepo.
Kutokuwepo kwa evidence ya volcanic activities mwezini na uwepo wa volcanic rocks (basalt) zenye umri wa zaidi ya miaka billioni 4 mwezini kunatoa evidence kwamba the moon was formed at the same time with other bodies kwenye solar system.
Mpaka hapa tambue kuwa Umeshaonyesha kuwa una kasoro fulani. Wenye Akili na hekima wanaweza Kung'amua hili. Bye bye
Hivi hizi habari huwa mnazihakikisha vipi mpaka mnaanza kuwasambazia watu ? Je mna shahidi juu ya hizi habari ?- Dunia ya mwanzo ilikua ujiuji na homogenious, ilianza kupoa taratibu na wakati huohuo vitu vizito kama Iron na Nikel vilizama katikati kwa sababu ya uzito wake( vikatengeneza core),
- Vitu ambavyo ni vizito kidogo kama magnesium na silicate vilizama pia juu ya core (kutengeneza mantle ambayo ni ujiuji). Na juu kabisa baada ya kupoa zaidi ilitengeneza crust ambalo ni ganda gumu.
- Wakati dunia inapoa ilitoa gases mbalimbali kama Sulphur, Carbondioxide nk kwa process inayoitwa degasing na inasemekana pia kwamba components zinazounda maji pia zilitoka pamoja na hizo gases wakati dunia ikiendelea kupoa.
- Gase ni nyepesi zaidi hivyo ilikaa juu zaidi na ikatengeneza primitive atmosphere. Atmosphere ambayo haikuweza kufaa kwa maisha yeyote.
- Kiumbe wa kwanza wanaosemekana kuwepo duniani na Autotoph (Cyano bacteria).. hawa waliishi miaka bilioni 2 iliyopita na inasemekana ndio waliohusika kuzalisha oxygen katika atmosphere na kufungua milango kwa viumbe wengine wanaotumia oxygen.
Wapi niliposema elimu ya anga ni upumbavu?Hahaa mi pia nimejua mwenye shida hapa. We nani uje useme elimu ya anga ni upumbavu
Richa ya kwamba nimesoma historia ya ulimwengu na dunia katika elimu yangu, pia sikuhizi kuna g[emoji102]gle search unaweza kupata elimu kuhusu chochote unachohitaji bila kuingia darasani.Hivi hizi habari huwa mnazihakikisha vipi mpaka mnaanza kuwasambazia watu ? Je mna shahidi juu ya hizi habari ?
Kwa heshima na taadhima naomba usome swali langu vizuri kisha ulijibu.Richa ya kwamba nimesoma historia ya ulimwengu na dunia katika elimu yangu, pia sikuhizi kuna g[emoji102]gle search unaweza kupata elimu kuhusu chochote unachohitaji bila kuingia darasani.
- Kwa kutumia g[emoji102]gle search pia unaweza ng'amua taarifa ipi ni ya kweli na ipi ni uongo.
- Sijajibu kama ulivyo uliza sababu u are not asking the right questions.Kwa heshima na taadhima naomba usome swali langu vizuri kisha ulijibu.
Hakuna anae pinga ya kuwa google kuna habari za uongo nyingi sana,swali langu la msingi hizo habari huwa mnazihakiki vipi na kujua kama ni kweli au uongo ? Hili ndiyo swali langu la msingi.
Nimecheka sana, nyinyi ndiyo huwa mnatufanya tuone Waafrika hatuna akili. Swali nililo kuuliza ni swali la msingi, na anae weza kujibu swali hilo ni mtu ambaye yuko huru na makini, mtu ambaye anajua thamanni ya ukweli na matumizi sahihi ya akili. Ngoja nikuonyeshe udhaifu wako ulipo.- Sijajibu kama ulivyo uliza sababu u are not asking the right questions.
Hizo "Facts" ndiyo ambazo tunataka mtuonyeshe na siyo mseme "Facts".- Hii hypothesis imeundwa kwa kutumia facts na misingi ya sayansi, sasa unataka nihakiki kwamba chuma ni kizito kuliko jiwe? au unataka nihakiki kwamba katikati ya dunia kuna chuma?
Sahihi kabisa na ujue ukweli wake kwamba ni kweli walienda au maigizo tu kama maigizo mengine. Wapo walio hakiki habari na kuhitimisha ya kuwa hakuna aliye enda mwezini na hatoweza kiumbe yoyote kwenda mwezini, hapa kadhalika umeonyesha ukichwa mchunga wako, yaani unekuwa bendera kufata upepo.au unataka nihakiki kwamba wanasayansi walioenda mwezini na kuleta taarifa duniani walikua sahihi?
Hili ni lazima ila kwa mtu makini, ila kwa mtu kama wewe mwenye tabia y "Sponchi" huwezi kuona hilo.Au unataka nihakiki kwamba kinachoandikwa kwenye vitabu na kufundishwa mashuleni kiko sahihi?
AsanteNimecheka sana, nyinyi ndiyo huwa mnatufanya tuone Waafrika hatuna akili. Swali nililo kuuliza ni swali la msingi, na anae weza kujibu swali hilo ni mtu ambaye yuko huru na makini, mtu ambaye anajua thamanni ya ukweli na matumizi sahihi ya akili. Ngoja nikuonyeshe udhaifu wako ulipo.
Soma kwa umakini yanayofata hapa.
Hizo "Facts" ndiyo ambazo tunataka mtuonyeshe na siyo mseme "Facts".
Lazima uhakiki kwamba chuma ni kizito kuliko jiwe, sababu jiwe pia huweza kuwa zito mara elifu ya jiwe. Hapa umeonyesha ufinyu wa kufikiri kwako, kwa kudhani ya kuwa mara zote chuma ni kizito kuliko jiwe, wakati watu makini wangeenda mbali zaidi kujua ni chuma gani, je chuma cha pua au kinyume chake, na kina uzito gani na kuhusu hivyo hivyo.
Sahihi kabisa na ujue ukweli wake kwamba ni kweli walienda au maigizo tu kama maigizo mengine. Wapo walio hakiki habari na kuhitimisha ya kuwa hakuna aliye enda mwezini na hatoweza kiumbe yoyote kwenda mwezini, hapa kadhalika umeonyesha ukichwa mchunga wako, yaani unekuwa bendera kufata upepo.
Hili ni lazima ila kwa mtu makini, ila kwa mtu kama wewe mwenye tabia y "Sponchi" huwezi kuona hilo.
Ahsante.