Mwezi wa leo naona una rangi tofauti, au Yesu ndio anarudi

Wakuu nipo zangu kijijini kwangu hapa naangalia mbalamwezi sio nyeupe kama nilivyozoea, wataalamu wa anga hebu semeni kidogo.

kwa wakazi wa Dar angalieni mwezi.
Sisi tulioko Rukwa upo kawaida tu. Ila ungetupa kapicha tulio mkoani huku.
 
Upo kawaida bhana.... Mna macho mabovu mno
 
Wakuu nipo zangu kijijini kwangu hapa naangalia mbalamwezi sio nyeupe kama nilivyozoea, wataalamu wa anga hebu semeni kidogo.

kwa wakazi wa Dar angalieni mwezi.
View attachment 2540899
Unachokiona ni mwezi unaomulikwa na miale ya jua linalozama maana mwezi upo pembezoni mwa dunia na ukumbuke miale ya jua linalozama huwa na rangi kama hiyo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…