Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 3,278
- 6,843
Huu ni uzushi na ujambazi, usisambaze kitu pasi na kuwa na uhakika nacho, uislamu haujafunza mambo ya nisfu shaaban ni utapeli tu.Usku wa nisfu(shaaban)[emoji120]View attachment 2540976
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ni uzushi na ujambazi, usisambaze kitu pasi na kuwa na uhakika nacho, uislamu haujafunza mambo ya nisfu shaaban ni utapeli tu.Usku wa nisfu(shaaban)[emoji120]View attachment 2540976
Anayerehemu ni Allah (Subhaanahu wa ta'ala). Sio Nabii Issa bin Maryam ('Alayhis Salaam). Hivyo wa kuombwa Rehma ni Allah peke yake.Issa bin Mariam ehhh
InshaAllah turehemu kisha ufanye yako
Ameen
Ni jambo lililozushwaUsku wa nisfu(shaaban)[emoji120]View attachment 2540976
TakbiirAnayerehemu ni Allah (Subhaanahu wa ta'ala). Sio Nabii Issa bin Maryam ('Alayhis Salaam). Hivyo wa kuombwa Rehma ni Allah peke yake.
Vilevile, dua ni Ibada, na haielekezwi Ibada isipokuwa kwa Allah tu peke yake. Kinyume chake ni kumshirikisha Allah katika Ibada kwa kumuabudu pamoja na (kuviabudu) viumbe vyake au kuabudu asiyekuwa Yeye, na hiyo ni Shirki . Na Shirki ni dhulma kubwa kabisa na Dhambi kubwa kuliko zote katika Uislam.
Sawa kabisa. Ila maandalizi ya kumlaki ni muhimu.Yesu arudi tu kwakweli, am so tired
Heri yako unayeamini Yesu yupo, kuna kizazi cha watu wenye shingo ngumu. Wanasema Mungu hayupo.Arudi tu kwa kweli
Enough is enough
NAKAZIA.Arudi tu maana yanayoendelea yanatisha
Tukiondoa masihara, jambo nililokuambia ni kubwa mno katika Dini ya Uislam. Kumpwekesha Allah (Tawheed) ni jambo kubwa mno mno mnoTakbiir
Ni kheri kubwa mno umeiingia dada yangu. Sifa zote njema zinamstahiki Allah. Ila sasa dada yangu, nakunasihi sana uisome dini. Na jambo la muhimu zaidi ni Tawheed.Nimeingia huku kwenu ukubwani
Uislam sio Ukristo. Katika Uislam, Yesu ni Mtume wa Allah, katika Mitume wake wakubwa kabisa, ambaye alitumwa kwa Wana wa Israil. Sio Mungu wala sio Mwana wa Mungu, wala hana ushirika wowote katika Ufalme wa Allah wala kuabudiwa kwake Allah na wala katika Sifa za Allah. Allah amepwekeka katika Ufalme wake, Kuabudiwa kwake na Sifa na Majina yake. ALLAH yuko peke yake hana Mshirika yeyote.Hivyo bado nakumbuka hadhi ya Yesu kwenye uKristo
Hivyo hii ni kinyume na Itikadi sahihi.Ana nguvu ya kurehemu
ShukraaanTukiondoa masihara, jambo nililokuambia ni kubwa mno katika Dini ya Uislam. Kumpwekesha Allah (Tawheed) ni jambo kubwa mno mno mno
Ni kheri kubwa mno umeiingia dada yangu. Sifa zote njema zinamstahiki Allah. Ila sasa dada yangu, nakunasihi sana uisome dini. Na jambo la muhimu zaidi ni Tawheed.
Uislam sio Ukristo. Katika Uislam, Yesu ni Mtume wa Allah, katika Mitume wake wakubwa kabisa, ambaye alitumwa kwa Wana wa Israil. Sio Mungu wala sio Mwana wa Mungu, wala hana ushirika wowote katika Uungu wa Allah wala kuabudiwa kwake Allah na wala katika Sifa za Allah. Allah amepwekeka katika Uungu wake, Kuabudiwa kwake na Sifa na Majina yake. ALLAH yuko peke yake hana Mshirika yeyote.
Yesu, ni Mtume na Mja wa Allah. Mama yake Bibi Maryam, mwanamke mwema aliyetwaharika na kuwa mbali na machafu, alimbeba kwa neno tu kutoka kwa Allah (nalo ni "Kuwa" naye akabeba mimba yake). Sio mama yake Mungu wala hakuwa mwanamke mzinifu kama wanavyomsingizia Mayahudi. Bali alimzaa Nabii Issa bila ya kukutana na mwanaume yoyote na huo ni muujiza.
Haombwi Yesu wala haabudiwi, bali anaombwa na kuabudiwa Mola wake Yesu ambaye ni Mola wangu pia na ni Mola wako na Mola wa kila kiumbe. Naye ni ALLAH Aliyetakasika na yote anayoshirikishwa nayo.
Hivyo hii ni kinyume na Itikadi sahihi.
Kazakh destroyer njoo ndugu yangu
Allah atuongoze sisi na akuongoze na wewe katika kuifuata Haqq.Shukraaan
Kwa mafundisho mazuri
Yachukua muda kujifunza yote
Kikubwa nia kuendelea kumjua Mwenyezi Mungu
Hio ndio faraja ya nafsi yangu
Atatukuta hivi hivi tulivyo, naamini atatuelewaSawa kabisa. Ila maandalizi ya kumlaki ni muhimu.
Duuuh!Atatukuta hivi hivi tulivyo, naamini atatuelewa
Naona unajitahidi kaka kumuelewesha KateMiddleton kumbe ni muislamu? mimi sikuwa najua kabisa huwa naona michango yake naelewa ni mkristo, sasa ziada kubwa ya kumpatia ni kwamba ukiingia kwenye uislamu kisha usisome dini yako mpya na misingi yake basi kurudi ulikotoka ni rahisi mno, hili ni kwasababu usipojenga imani yako juu ya misingi madhubuti ya elimu basi kuyumbishwa na majeshi ya mashetani wa kibinadamu na kijini ni jambo la kutarajiwa.Tukiondoa masihara, jambo nililokuambia ni kubwa mno katika Dini ya Uislam. Kumpwekesha Allah (Tawheed) ni jambo kubwa mno mno mno
Ni kheri kubwa mno umeiingia dada yangu. Sifa zote njema zinamstahiki Allah. Ila sasa dada yangu, nakunasihi sana uisome dini. Na jambo la muhimu zaidi ni Tawheed.
Uislam sio Ukristo. Katika Uislam, Yesu ni Mtume wa Allah, katika Mitume wake wakubwa kabisa, ambaye alitumwa kwa Wana wa Israil. Sio Mungu wala sio Mwana wa Mungu, wala hana ushirika wowote katika Ufalme wa Allah wala kuabudiwa kwake Allah na wala katika Sifa za Allah. Allah amepwekeka katika Ufalme wake, Kuabudiwa kwake na Sifa na Majina yake. ALLAH yuko peke yake hana Mshirika yeyote.
Yesu, ni Mtume na Mja wa Allah. Mama yake Bibi Maryam, mwanamke mwema aliyetwaharika na kuwa mbali na machafu, alimbeba kwa neno tu kutoka kwa Allah (nalo ni "Kuwa" naye akabeba mimba yake). Sio mama yake Mungu wala hakuwa mwanamke mzinifu kama wanavyomsingizia Mayahudi. Bali alimzaa Nabii Issa bila ya kukutana na mwanaume yoyote na huo ni muujiza.
Haombwi Yesu wala haabudiwi, bali anaombwa na kuabudiwa Mola wake Yesu ambaye ni Mola wangu pia na ni Mola wako na Mola wa kila kiumbe. Naye ni ALLAH Aliyetakasika na yote anayoshirikishwa nayo.
Hivyo hii ni kinyume na Itikadi sahihi.
Kazakh destroyer njoo ndugu yangu
Mkuu amelewa, pia simu yake nayo imelewa kutokana na hang overAcha pombe huziwezi
Mkuu, huo uzio umegharimu Tsh. ngapi hadi kukamilika?