Mwezi wa leo naona una rangi tofauti, au Yesu ndio anarudi

Mwezi wa leo naona una rangi tofauti, au Yesu ndio anarudi

Kuwa makini omba sana unakatibia kukata kamba. .
Ukiona white light ujue ndo unapotea. .
 
Hadi nimetoka nje aisee
Saa 3 hiii??
Mbona upo kawaida
D187B88C-1CB7-42A3-8120-0CD1FF6EA35D.jpeg
 
Ulikua una akisi matokeo ya Simba,wekundu wa Msimbazi kushinda mechi yao leo.
 
Mbona upo normal inategemea na position yake leo
 
Back
Top Bottom