Mwezi wa leo naona una rangi tofauti, au Yesu ndio anarudi

Mwezi wa leo naona una rangi tofauti, au Yesu ndio anarudi

Wakuu nipo zangu kijijini kwangu hapa naangalia mbalamwezi sio nyeupe kama nilivyozoea, wataalamu wa anga hebu semeni kidogo.

kwa wakazi wa Dar angalieni mwezi.
View attachment 2540899
.....ni kuwa makini tu na kujiandaa, ingawa dalili za ujio wake nadhani zitaku za kuogofya sana, kama utakuwa ukiona ile hali siku moja kabla ya tetemeko la ardhi kule Uturuki, very terrible....
 
full moon iyo mzee au kwa maneno rahisi red moon hapo ukiomba mambo yako kutoka kwa dhati una asilimia kubwa ya kufanikiwa siku ya leo sio nzuri kugombana au kugombanisha
 
Back
Top Bottom