1. Hakuna ngono kwenye uchumba.
2. Hakuna mchumba hapo, bali malaya ameamua kumnyima malaya mwenzake ngono.
3. Kaepuka kuwa single mama.
4. Kakuepusha kuwa single baba.
5. TAFUTA MKE UOE, USIPOTEZE MUDA NA MALAYA MWENZAKO.
6. TAFUTA MKE UOE UACHE UMALAYA.