Mwezi wa Nne mchumba ananinyima unyumba wakuu nifanyaje?

Mwezi wa Nne mchumba ananinyima unyumba wakuu nifanyaje?

Demu ambae anatumia fedha zangu kwa namna tofauti tofauti
Kama lengo ni kumuoa ungefanya hima ili aku-handle as her husband, kama lengo ni starehe tu basi jaribu kuonyesha unamchit ili kiwango chake cha wivu utumie kama fursa ya kuendelea nae au kumuacha
 
NINGE kua baba WA HUYO BINTI NINGE KUJA nyuma yake na viboko VYA mpera usinge kaa ukasahau. Wazazi tunahudumia kwa kujinyima na kusomesha. WEWE UNAFANYA ujinga kwa mwanangu


Kwishaaaaa
 
Kama lengo ni kumuoa ungefanya hima ili aku-handle as her husband, kama lengo ni starehe tu basi jaribu kuonyesha unamchit ili kiwango chake cha wivu utumie kama fursa ya kuendelea nae au kumuacha
🤝🤝🤝🤝
 
Amekupimia amekuona wewe pimbi SI unaona haujiamini hadi umekuja kuomba ushauri huku kwa walevi wa gongo
 
Mpe wewe basi, Kuna siku uliwahi kumpa unyumba? Amechoka.
 
Back
Top Bottom