Mwezi wa Nne mchumba ananinyima unyumba wakuu nifanyaje?

Mwezi wa Nne mchumba ananinyima unyumba wakuu nifanyaje?

Si mchumba tu! Sio mke, amekuonyesha makucha mapema, piga chini tafuta mwingine.
 
Kumekuwa na sitofahamu kati yangu na mchumba ang, last dance ilikuwa kama miez 4 iliyopita.. na kila nikimpangilia kuja ghetto ni kipengele aisee nifanyaje????
Kwan umemuoa unataka umalizie buyu lote la asari before
 
Kumekuwa na sitofahamu kati yangu na mchumba ang, last dance ilikuwa kama miez 4 iliyopita.. na kila nikimpangilia kuja ghetto ni kipengele aisee nifanyaje????
Kuna mwamba anajipigia kila siku usiku na mchumba wako anamuelewa sana Cha msingi wanawake ni Wengi temana naye utaumwa INI kushea shea ngono
 
Labda anaogopa mimba, au anaona hakuna future hapo

Wanawake wa siku hizi wanaangalia maslahi ya maisha zaidi
Labda anataka nyumba akiba kubwa bank.
 
Back
Top Bottom