The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Ukweli mchungu ni kwamba,huyo Mwanamke amesha pata Dume lingine ambalo ndio linamtafuna,Akiamua kukudharau anakudharau TU broh
Wakubwa tumeshaelewa,
Haya nenda kakodi turubali ufanye msiba.