Mwezi wa Nne mchumba ananinyima unyumba wakuu nifanyaje?

kwani mwanzo alikuwa anakupa then ghafla hataki tena?
jana nimepiga chini demu wa namna hiyo. Akihitaji hela nampatia, nikihitaji unyumba excuse nyingii. mwezi mzima naomba huduma bila mafanikio. jana nikaona isiwe tabu
 
Kikubwa

Kikubwa uchumba TU mbnaa nagaramia lkn
Kugharamia ni kujipendekeza, huna ulazima kumgharamia mtu asiye mkeo. Kuna principles kwenye maisha tunazikiuka wenyewe then tunalalamika.
 
kwani mwanzo alikuwa anakupa then ghafla hataki tena?
jana nimepiga chini demu wa namna hiyo. Akihitaji hela nampatia, nikihitaji unyumba excuse nyingii. mwezi mzima naomba huduma bila mafanikio. jana nikaona isiwe tabu

kwani mwanzo alikuwa anakupa then ghafla hataki tena?
jana nimepiga chini demu wa namna hiyo. Akihitaji hela nampatia, nikihitaji unyumba excuse nyingii. mwezi mzima naomba huduma bila mafanikio. jana nikaona isiwe tabu
Alafu we ni homeboy kbsa nipo MASASI HAPA Kuna manzi imekata sana chenji zangu aisee
 
Kumekuwa na sitofahamu kati yangu na mchumba ang, last dance ilikuwa kama miez 4 iliyopita.. na kila nikimpangilia kuja ghetto ni kipengele aisee nifanyaje????
Ningekuw mim nanunua kahaba halaf nam
Kumekuwa na sitofahamu kati yangu na mchumba ang, last dance ilikuwa kama miez 4 iliyopita.. na kila nikimpangilia kuja ghetto ni kipengele aisee nifanyaje????
Ningekuwa mim nanunua malaya halaf namgongea ninakolala nae ili nimchome moyo kidog
 
Kama zipi mkuu
Kama hizo, umesema unamgharamia "mchumba", kwanza huyo sio mchumba kwa kanuni za uchumba. Unagharamiaje mtu asiye mkeo? Huoni mwenzako ameona asikupe ngono kwa sababu wewe sio mumewe. Unadhani mngekuwa mume na mke angekukaushia miezi minne?

Mwisho uje kufilisiwa kwa kutoa gharama zisizokuhusu, aolewe na kijana mwingine huko. Wanaume tuna tabu sana.
 
Maneno machungu Lakin nd dawa yenyewe hii.... Nashukur broh
 
Kumekuwa na sitofahamu kati yangu na mchumba ang, last dance ilikuwa kama miez 4 iliyopita.. na kila nikimpangilia kuja ghetto ni kipengele aisee nifanyaje????
Jibake
 
Attachments

  • AQOubwA4v7NX64ZBN1Ngnwb9Pt3FtR12I1zcCEJdsNQOQ1FlyW7fD5D9RZwZY1zve2ncS-arK4kfT40UZHnuDKdE.mp4
    5.4 MB
Back
Top Bottom