Urban Edmund
JF-Expert Member
- Mar 20, 2018
- 2,250
- 3,607
inashangaza sana keki ya taifa ndio ipi hiyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe? Alifanikiwa kumsusha nani akawa masikini?Mwendqzake akimaanisha matajiri wa Tanzaniq waliotokana na rushwa na wizi anbao walikuwa wengi kipindi kile
'Aaahhh'Mwigulu kwani kamsaliti nani?
Tena alikuwa ni msifiaji mkubwa snUnafiq tu. Hilo angelisema kipindi kile cha mwendazake ili aone moto wake
Especially mwanasiasaHutakiwi kumuamini mtu yoyote, kika mtu anadanganya
Oooh kumbe nilijua scarf hua ipo maeneo ya shingon kumbe ipo maeneo ya mkono!!Scarf in the neck mkuu si angeshazirai
Wewe ungeweza kusema? Unataka kuishi au hutaki?Unafiq tu. Hilo angelisema kipindi kile cha mwendazake ili aone moto wake
PorojoKuna kitu kichwani kinanimbia kuwa Tanzania inakaribia kuona mabadiliko makubwa ya kiuongozi na mfumo ambayo yatakuja bila kutegemea. Viongozi wengi walioko madarakani sasa hivi wameshafikia saturation point ya kufikiri na ni suala la muda tu chochote kinaweza kikatokea.
Kweli dunia hii acha ipiteWAZIRI wa Fedha na Mipango Dk Mwigulu Nchemba amesema serikali haikusudii kuwashusha matajiri ili walingane na masikini kwa kuwa hiyo ni "sadist mind"
na kwamba itaendelea kutekeleza miradi ya kimkakati ili kuhakikisha kila mmoja anapanda.
Akihitimisha mjadala wa Bajeti, Dk Mwigulu amesema nia ya serikali ni kuhakikisha kila mmoja kila taasisi inapata mgao wa keki ya taifa hata hivyo uhitaji ni mkubwa na mpango wa sasa ni kuanza na wachache.
Ni mjinga na mbumbumbu tuu ndio ananweza fuata sera za kipuuzi za Jiwe.Jiwe anstahili kugeukwa. Hata mama kamgeuka jiwe.
-- aliruhisu chanjo ya korona, jiwe aligoma.
--amewaachia wafanyabiashara waliobambikiziwa kesi za uhujumu uchumi na kuwarudishia fedha zao.
.....amefungilia mikutano ya vyama vya siasa .
....ameruhusu uhuru wa vyombo vya habari.
Na mengine mengi ambayo yule dikteta mwendawazimu aliyasimamia
Amegonga mule mule utosini 😂😂Huyu lopolopo
🙄🙄🙄Ni mjinga na mbumbumbu tuu ndio ananweza fuata sera za kipuuzi za Jiwe.