Mwigulu: Aliyetaka kuwashusha matajiri waishi kama masikini alikuwa na ''Sadist mind''

Mwigulu: Aliyetaka kuwashusha matajiri waishi kama masikini alikuwa na ''Sadist mind''

Mnafki mkubwa,angeongea wakati ule aliokua anasifu...mla punda wahed.
 
WAZIRI wa Fedha na Mipango Dk Mwigulu Nchemba amesema serikali haikusudii kuwashusha matajiri ili walingane na masikini kwa kuwa hiyo ni "sadist mind"

na kwamba itaendelea kutekeleza miradi ya kimkakati ili kuhakikisha kila mmoja anapanda.

Akihitimisha mjadala wa Bajeti, Dk Mwigulu amesema nia ya serikali ni kuhakikisha kila mmoja kila taasisi inapata mgao wa keki ya taifa hata hivyo uhitaji ni mkubwa na mpango wa sasa ni kuanza na wachache.
Mtihani mkubwa kuongoza hizi nchi za dunia ya tatu. Mpina ajipange kwani 2026 anaweza asiwemo bungeni.

Jina lake linaweza kuchinjiwa baharini akajikuta ananuna mpaka anazeeka.
 
WAZIRI wa Fedha na Mipango Dk Mwigulu Nchemba amesema serikali haikusudii kuwashusha matajiri ili walingane na masikini kwa kuwa hiyo ni "sadist mind"

na kwamba itaendelea kutekeleza miradi ya kimkakati ili kuhakikisha kila mmoja anapanda.

Akihitimisha mjadala wa Bajeti, Dk Mwigulu amesema nia ya serikali ni kuhakikisha kila mmoja kila taasisi inapata mgao wa keki ya taifa hata hivyo uhitaji ni mkubwa na mpango wa sasa ni kuanza na wachache.
lakini ndio huyohuyo alimpa uwaziri na alikula nchi sana kipindi chake.
 
Haya mambo ya DP WORLD ukiwa serious nayo usiku unaweza iacha mbususu ya mkeo ili ukaharibu mabango ya mama Samia
 
Kuna kitu kichwani kinanimbia kuwa Tanzania inakaribia kuona mabadiliko makubwa ya kiuongozi na mfumo ambayo yatakuja bila kutegemea. Viongozi wengi walioko madarakani sasa hivi wameshafikia saturation point ya kufikiri na ni suala la muda tu chochote kinaweza kikatokea.
Usije ukawa unaanza kuchanganyikiwa mkuu maana Hata vichaa huanza kuongea na watu ambao hawawaoni
 
Leo Yuko na Samia anamponda aliyepita , na Samia akipita atampondea kwa ajaye, utaskia Yule bibi alituuza watanganyika , atuombe radhi huko aliko!!

NB. ukiwa na rafiki mwanasiasa usimwamini , ishi nae kimachale !!
 
Kwani hapo kamponda nani?
 
Hiyo ni ndoto ya mchana inayosukumwa na sukuma gang emotions.

Sahaun kuhusu hilo. Nchi iko vizuri na uongozi huu ni mzuri mara 100 kuliko ule wa jiwe. Jiwe alikuwa mwehu, mbaguzi na mbinafsi.
[emoji23] [emoji23] Kwa sababu alikuwa anakubutua bure ndio unaona alikuwa mwehu?
 
Mwendqzake akimaanisha matajiri wa Tanzaniq waliotokana na rushwa na wizi anbao walikuwa wengi kipindi kile
 
Back
Top Bottom