Mwigulu: Aliyetaka kuwashusha matajiri waishi kama masikini alikuwa na ''Sadist mind''

Picha ya Mwigulu ukimuonyesha mtoto atakuwa anaota milele...hayo mengine atajuana na Mkuu wake, tutaonana mitaani karibuni,
 
Porojo
 
Kweli dunia hii acha ipite
 
Ni mjinga na mbumbumbu tuu ndio ananweza fuata sera za kipuuzi za Jiwe.
 
Ni mjinga na mbumbumbu tuu ndio ananweza fuata sera za kipuuzi za Jiwe.
πŸ™„πŸ™„πŸ™„

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Yaani imebidi nicheke, At ni weye huyu!

Na kukumbusha tu[unduminakuwili] juzi kati ulivyokurupuka na kusema SSH na suala la Bandari alikuwa akiendeleza Sera za Hayati.
Una ka short sakati sehemu. Hivi? kuna mtu mwingine humu ambaye ndiye kinara zaid, tena wa mashambulizi dhidi ya Watanzania zaidi ya wewe?

Kwanza hujawahi kubandika uzi humu, wakati wowote ule SSH akitoa reference ya Hayat Magufuli!

Umejikita sana kwenye masuala ambayo yana masilahi ya Mabeberu tu....hata yale aliyoyafanya Hayati ambayo yaliweza kuwapendelea.

Kesho utamgeuka SSH na kutubandikia nyuzi za kumkanda....ni suala la muda tu.


😌😌😌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…