Mwigulu amejipa umasihi wa kuponya mioyo na sasa nchi nzima wanaimba jina lake. Mungu amtangulie afike mbali

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
12,213
Reaction score
28,916
Katika kipindi hiki ambacho watanzania wanahitaji majibu ya matatizo yao hasa dhuluma, unyanyasaji, unyang'anyi wa mfumo ,maonevu ya kijamii hasa ndugu Mungu amemuinua Mwigulu kuja kuwapa majibu ya haraka na yauhakika wa haki zao papo kwa hapo hapa Mungu anamtumia Mwigulu kuwa masihi wa taifa.

Nimefatilia ziara zake nchi nzima watu wanasafiri wanakesha kumsubiri Mwigulu afike katika wilaya zao ili wapeleke malalamiko yao ambayo hayakuwa na majibu kwa miaka mingi .

Nimefatilia kila sehemu anazopita anaacha faraja, furaha, matumaini, na machozi ya furaha kwa waathiriwa, Mungu ameweka

Katika kipindi ambacho Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan anataka kuacha legacies naona Mwigulu akiwa katika kiwango cha ķuhakikisha alama za serikali ya awamu ya sita zinapatikana kama utawala uliojali hali za watu za kijamii na kuondoa dhuluma moja kwa moja .

Hii inaonekana hata chadema wakianza siasa mikutano yao haitakuwa na mvuto kama hii yenye majibu ya moja kwa moja kwa wananchi.

Mungu aendelee kumuweka Mh Mwigulu aendelee na hizi ziara zake kila anapopata muda ili kurudisha imani ya wananchi kwa serikali yao .

Mh you mean inchi ya Tanzania au ya wapi ambayo inaimba jina lake
 
downloadfile-564.jpg
Hakuna umasihi wowote chawa, huyo Madelu na genge lake wakiongozwa na Samuya hawakuchaguliwa wapo hapo kwa mtutu wa bunduki na damu za watanganyika maelfu kwa maelfu .

Msifikiri tumesahau bado tunakumbuka vizuri sana.

Hizi damu hazitawahi kwenda bure mjiandae.

Katika kipindi hiki ambacho watanzania wanahitaji majibu ya matatizo yao hasa dhuluma, unyanyasaji, unyang'anyi wa mfumo ,maonevu ya kijamii hasa ndugu Mungu amemuinua Mwigulu kuja kuwapa majibu ya haraka na yauhakika wa haki zao papo kwa hapo hapa Mungu anamtumia Mwigulu kuwa masihi wa taifa.

Nimefatilia ziara zake nchi nzima watu wanasafiri wanakesha kumsubiri Mwigulu afike katika wilaya zao ili wapeleke malalamiko yao ambayo hayakuwa na majibu kwa miaka mingi .

Nimefatilia kila sehemu anazopita anaacha faraja, furaha, matumaini, na machozi ya furaha kwa waathiriwa, Mungu ameweka

Katika kipindi ambacho Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan anataka kuacha legacies naona Mwigulu akiwa katika kiwango cha ķuhakikisha alama za serikali ya awamu ya sita zinapatikana kama utawala uliojali hali za watu za kijamii na kuondoa dhuluma moja kwa moja .

Hii inaonekana hata chadema wakianza siasa mikutano yao haitakuwa na mvuto kama hii yenye majibu ya moja kwa moja kwa wananchi.

Mungu aendelee kumuweka Mh Mwigulu aendelee na hizi ziara zake kila anapopata muda ili kurudisha imani ya wananchi kwa serikali yao .

USSR
😅😅😅😂😂ARE YOU SERIOUSLY...
 
Naunga Mkono Hoja na nina Ukubali sana uchapakazi, uadilifu, uzalendo na uhodari wa Mheshimiwa Waziri Mkuu Wetu katika kushughulikia kero , changamoto za watanzania. Ni kiongozi wa Majawabu kwa kila mwenye changamoto. Ni waziri Mkuu wa ndoto ya watanzania. Japo watanzania wanaendelea kumuombea Makubwa zaidi siku za mbeleni huko.

Kwa Hakika Ni Hazina ya Taifa letu iliyoandaliwa na kujiandaa kulitumikia Taifa letu. Anachapa kazi haijapata kutokea. Muda wote yupo kwa wananchi.

Kwa Hakika Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan aliona mbali sana kumteua Mheshimiwa Daktari Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu. Maana Amejipunguzia kazi . Sasa kazi imepata Mpenda kazi na Mtumishi wa kweli.
 
Hakika maana nchi nzima inamtaja Mwigulu
USSR
 
Mh you mean inchi ya Tanzania au ya wapi ambayo inaimba jina lake
Mitaani Jina La Dkt Mwigulu Lameck Nchemba limekaa vinywani Mwa Watanzania na kila apitapo na kufanya ziara anaacha nyuso za furaha, tabasamu na matumaini kwa watanzania wote bila kujali vyama vyao
 
Inasemekana ni mbio za kuutaka urais.
Daktari Mwigulu Nchemba amekuwa ni mchapa kazi wa muda wote na mwenye kiu ya kutaka kuona wanyonge wanapata huduma na kuhudumiwa kwa haki na kwa usawa. Amefanya kazi kwa uadilifu, uzalendo hata ndani ya chama . Ndio sababu amekuwa akikubalika sana ndani ya chama na hata nje ya chama.

Laini pia Mwenye akili na maono makubwa sana. Ni kiongozi pia mwenye moyo wa upendo na huruma sana . Ndio maana katika mikono yake wengi sana wamepata kupitia na kusaidiwa sana . Wengi waliokuwa wamekata Tamaa walijikuta wakipata tumaini baada ya kusaidiwa na Mheshimiwa Daktari Mwigulu Nchemba. Kuna Watu wengi sana wamesomeshwa mpaka vyuo vikuu na Mheshimiwa Daktari Mwigulu. Kuna watoto yatima na akina mama wajane wamesaidiwa sana na huyu Mheshimiwa. Ndio maana anapendwa sana na Wananchi
 
Mitaani Jina La Dkt Mwigulu Lameck Nchemba limekaa vinywani Mwa Watanzania na kila apitapo na kufanya ziara anaacha nyuso za furaha, tabasamu na matumaini kwa watanzania wote bila kujali vyama vyao

Yah ni kweli because sisi ni watu wa kuishi kwa matumaini tu

Kila anakokwenda anakuta chadema wameiba ela,

Akienda sehemu zingine anakuta wakandarasi ambao wamewekwa na chadema wamekula ela na wamepotea kazi zimesimama

Sehemu zingine anakuta madeni ya wafanyakazi ambao waliwekwa na chadema
 
Back
Top Bottom