Mwigulu amejipa umasihi wa kuponya mioyo na sasa nchi nzima wanaimba jina lake. Mungu amtangulie afike mbali

Mitaani Jina La Dkt Mwigulu Lameck Nchemba limekaa vinywani Mwa Watanzania na kila apitapo na kufanya ziara anaacha nyuso za furaha, tabasamu na matumaini kwa watanzania wote bila kujali vyama vyao
Mwambie huyu anaishi Kenya

USSR
 
Yah ni kweli because sisi ni watu wa kuishi kwa matumaini tu

Kila anakokwenda anakuta chadema wameiba ela,

Akienda sehemu zingine anakuta wakandarasi ambao wamewekwa na chadema wamekula ela na wamepotea kazi zimesimama

Sehemu zingine anakuta madeni ya wafanyakazi ambao waliwekwa na chadema
Hahaha eti tonetone

USSR
 
Aaah chadema ni wezi sana, 😄 miradi inasimama kwa wizi wao

Madeni hayalipwi kwa wizi wao
Naona viongozi wa CHADEMA wanatangaza namba zao za tonetone wizi mtupu

USSR
 
Katika kipindi hiki ambacho watanzania wanahitaji majibu ya matatizo yao hasa dhuluma, unyanyasaji, unyang'anyi wa mfumo ,maonevu ya kijamii hasa ndugu Mungu amemuinua Mwigulu kuja kuwapa majibu ya haraka na yauhakika wa haki zao papo kwa hapo hapa Mungu anamtumia Mwigulu kuwa masihi wa taifa.

Nimefatilia ziara zake nchi nzima watu wanasafiri wanakesha kumsubiri Mwigulu afike katika wilaya zao ili wapeleke malalamiko yao ambayo hayakuwa na majibu kwa miaka mingi .

Nimefatilia kila sehemu anazopita anaacha faraja, furaha, matumaini, na machozi ya furaha kwa waathiriwa, Mungu ameweka

Katika kipindi ambacho Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan anataka kuacha legacies naona Mwigulu akiwa katika kiwango cha ķuhakikisha alama za serikali ya awamu ya sita zinapatikana kama utawala uliojali hali za watu za kijamii na kuondoa dhuluma moja kwa moja .

Hii inaonekana hata chadema wakianza siasa mikutano yao haitakuwa na mvuto kama hii yenye majibu ya moja kwa moja kwa wananchi.

Mungu aendelee kumuweka Mh Mwigulu aendelee na hizi ziara zake kila anapopata muda ili kurudisha imani ya wananchi kwa serikali yao .

USSR
Rubbish 🚮
 
Naona viongozi wa CHADEMA wanatangaza namba zao za tonetone wizi mtupu

USSR

Eeh kila mmoja anaiba kwa akili yake, mwingine anaiba kwa kumpa kazi mkandarasi then anamwambia acha kazi kimbia na hela zote kachukua 😄

Wengine wameiba mpaka CAG kashindwa cha kufanya

So kila mtu ni mwizi
 
Nchi nzima na mimi nikiwepo??

Nilikwambia lini mkuu
 
Katika kipindi hiki ambacho watanzania wanahitaji majibu ya matatizo yao hasa dhuluma, unyanyasaji, unyang'anyi wa mfumo ,maonevu ya kijamii hasa ndugu Mungu amemuinua Mwigulu kuja kuwapa majibu ya haraka na yauhakika wa haki zao papo kwa hapo hapa Mungu anamtumia Mwigulu kuwa masihi wa taifa.

Nimefatilia ziara zake nchi nzima watu wanasafiri wanakesha kumsubiri Mwigulu afike katika wilaya zao ili wapeleke malalamiko yao ambayo hayakuwa na majibu kwa miaka mingi .

Nimefatilia kila sehemu anazopita anaacha faraja, furaha, matumaini, na machozi ya furaha kwa waathiriwa, Mungu ameweka

Katika kipindi ambacho Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan anataka kuacha legacies naona Mwigulu akiwa katika kiwango cha ķuhakikisha alama za serikali ya awamu ya sita zinapatikana kama utawala uliojali hali za watu za kijamii na kuondoa dhuluma moja kwa moja .

Hii inaonekana hata chadema wakianza siasa mikutano yao haitakuwa na mvuto kama hii yenye majibu ya moja kwa moja kwa wananchi.

Mungu aendelee kumuweka Mh Mwigulu aendelee na hizi ziara zake kila anapopata muda ili kurudisha imani ya wananchi kwa serikali yao .

USSR
Ngoja waje chawa wenzako wa team Nchimbi waje mchambane. Mwigulu ni futuhi inayozurura hapa nchini.
 
Hivi kwa nini watu hamuwezi kuwa wakweli na mkaishi maisha halisi ya kusema ukweli.Kazi yenu kubwa ni kulialia na kujipendekeza kwa wanasiasa ambao hata mvuto hawana wala sio wazalendo. Hovyo sana.
 
Back
Top Bottom