Pre GE2025 Mwigulu: Anayeongea ndiye Waziri Fedha, mkirudi Majimboni waambieni Wajumbe wenu hakuna awamu imetoa pesa nyingi kama ya Sita

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tuna waziri wa fedha mpumbafu, vitu vya kipuuzi anaongea kwa mbwembwe, eti bajeti la bwawa la umeme eti ni sawa na majeti ya mwaka ya nchi nyingine akijisaulisha kuna nchi kieneo ni ndogo kuliko mkoa wa dar. Na manyumbu yakawa yanamshangilia. PUMBAFU
 
HUYU MUONGO ATUAMBIE TANROAD NA TARURA KAPELELA PESA GANI WKT WANAKUFA NJAA NA MIRADI IMELALA?
 
Waziri wa Fedha, Mwigulu amejigamba Mbungeni kuwa "Anayeonge ndiye Waziri Fedha, mikirudi Majimboni waambieni Wajumbe wenu hakuna awamu tumetoa pesa kama awamu hii ya Sita
Na wasisahau kusema hakuna awamu imewakamua kodi kama hii iliyopo!
 
Hizo pesa nyingi zimepelekwa na kuleta maendeleo kwenye vijiji au wilaya ipi mfano wilaya ya moshi vijijini?
 
Naam Dr wa uchumi
 

View: https://www.youtube.com/watch?v=dSxPAxKu-Ek
Nikasema nisikilize mjadala wao, ambao wameamua kuuendesha kwa kizungu; yaani huyo governor anavyo struggle kuongea kizungu tena cha kusoma tu kwenye makaratasi yaliyotayarishwa. Kwa kweli sikufika mbali.

Jokate na Hamissa wanatema ung'eng'e kushinda huyo Tutuba na waajiriwa wa BoT waliozungumza.

Yaani hao wataalamu wana struggle kuongea lugha waliochagua mpaka kero, aina maana hawana technical knowldge ya mada husika, sasa kwani ilikuwa lazima muongee kwa lugha msio na uwezo nayo.

Nakubali it was the shallowness of me kukosa uvumilivu wa kusikiliza, lakini baada ya waziri kupewa jukwaa na kuanza kutukuza walimu wake kwa dakika kama tisa, tena kwa kutumia lugha ambayo aimudu; I couldnt bear the torture anymore.

I wonder wakenya wameshangaa vipi finance management system yetu inayoongozwa na watu kama hawa. If anything maana yake wazimu wake wa Kenya ni balaa zaidi (the nonsense in Tanzania is beyond me).

Like aargh ukiwasikiliza wataalamu wetu, how is this possible; hivi hawa uwa wanaongea nini na wazungu.

Sasa usiseme nawasingizia video ya mkutano wao nimeweka, aargh.
 
Najiuliza unafikiri angesema nini? Mwenye shibe amkumbuki mwenye njaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…