seedfarm
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 260
- 2,655
Trat na Trab walipambana sana na Makampuni ya Barrick na Accacia lakini kesi zao zili backfire na Serikali ya Tanzania ilishindwa kulingana na MIGA agreements
Mwigulu aache kigugumizi aongee ukweli, Huko Trat na Trab kesi za acacia na Barrick zilikuwepo lakini mambo yalienda kombo kwa serikali
Tundu lissu aliposhauri haya alionekana hafai, Lakini Kiuhalisia serikali yetu ili saini mikataba ya MIGA na Barrick kuwa kesi zote zitasimamiwa na mahakama za kimataifa
Kabudi na kundi lake wakaanzisha utaratibu eti kesi za Barrick na Accacia ziende mahakama za Kisutu na za Buguruni kitu ambacho hakipo kwenye MIGA agreement
Haya mambo sio siri tena, Mwigulu anafahamu na hata mkaguzi wa serikali anafahamu kuwa Tunalipa mabilioni kwa kuvunja MIGA agreement lakini inafanywa siri sana
Ile kesi ya kudai matrilioni kwa Barrick serikali yetu ilishindwa kesi na kutakiwa kuwalipa Barrick
Serikali kwa sasa ya Mama Samia inalipa madeni mengi sana ikiwemo ya kesi za kuvunjwa kwa mikataba kulikofanywa na serikali ya awamu ya Tano
Mwigulu na serikali msifiche mambo.
TRA wamepambana sana kwa shinikizo la serikali lakini kesi imeenda hovyo na sasa Serikali inawalipa hao Barrick na Accacia matrilioni ya pesa