Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Ahahahahah!Yaani mtoa mada pekee ndiyo anaijua. Ha ha haaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahahahah!Yaani mtoa mada pekee ndiyo anaijua. Ha ha haaa
Mimi sina ushahidi wowote tofauti na uliyoandika. Lakini habari nzito kama hii kwa nini usitoe ushahidi. Hizi kesi huwa siyo za siri na maamuzi mara nyingi si siri, ungetusaidia ungetuletea huo uamuzi au agizo kuilipa ACACIA. Ningoje nijaribu kutafuta, nikipata nbitaairusha humu JF.Trat na Trab walipambana sana na Makampuni ya Barrick na Accacia lakini kesi zao zili backfire na Serikali ya Tanzania ilishindwa kulingana na MIGA agreements
Mwigulu aache kigugumizi aongee ukweli, Huko Trat na Trab kesi za acacia na Barrick zilikuwepo lakini mambo yalienda kombo kwa serikali
Tundu lissu aliposhauri haya alionekana hafai, Lakini Kiuhalisia serikali yetu ili saini mikataba ya MIGA na Barrick kuwa kesi zote zitasimamiwa na mahakama za kimataifa
Kabudi na kundi lake wakaanzisha utaratibu eti kesi za Barrick na Accacia ziende mahakama za Kisutu na za Buguruni kitu ambacho hakipo kwenye MIGA agreement
Haya mambo sio siri tena, Mwigulu anafahamu na hata mkaguzi wa serikali anafahamu kuwa Tunalipa mabilioni kwa kuvunja MIGA agreement lakini inafanywa siri sana
Ile kesi ya kudai matrilioni kwa Barrick serikali yetu ilishindwa kesi na kutakiwa kuwalipa Barrick
Serikali kwa sasa ya Mama Samia inalipa madeni mengi sana ikiwemo ya kesi za kuvunjwa kwa mikataba kulikofanywa na serikali ya awamu ya Tano
Mwigulu na serikali msifiche mambo,
TRA wamepambana sana kwa shinikizo la serikali lakini kesi imeenda hovyo na sasa Serikali inawalipa hao Barrick na Accacia matrilioni ya pesa
......na vichuguu tumo pia!!!JF kila Mtu ni Mjuzi, Msomi(PhD),
Tajiri,
Mfanyakazi,
Mfanyabiashara,
Msanii(Muigizaji/Mwanamuziki),
Mwalimu,
Nabii,
Rubani,
Daktari(Doctor & Herbalist)
Motivation speaker(Muhamasishaji),
Mwanasiasa,
Mvuvi,
Mkulima,
Mchungaji,
Mchezaji mpira,
Mwanasheria,
Baharia,
Mwanajeshi,
Dereva,
Fundi makenikia,
Mshabiki kindakindaki wa MAKOLOKOLO FC/ UTOPOLO FC,
Mwanariadha,
Mpiga ngumi (Mandonga),
Mfiadini(Muarabu/Mmarekani),
Muhasibu,
Mwanasayansi,
Injinia wa - meli/magari/ndege/nyumba, Mwanasaikolojia,
Nahodha,
Afisa masoko/majengo/biashara/elimu,
Mkurugenzi mkuu,
Asiyejulikana,
Mwana-diplomasi,
Imamu,
Chawa,
Mwanaharakati,
Hakimu......
TZ kiboko.... [emoji119][emoji847].
Mbona mlikuwa unajua kuwa sgr hatujengi kwa fedha za ndani. Na umlikuwa mnafanya siri hapo Lumumba ila wakulungwa tulikuwa tunajua janja yenuKama ni Siri Wewe umejuaje?
Huko kilabuni ulikotokea walikuwekea maji ya katani kwenye mataputapu uliyokunywaTrat na Trab walipambana sana na Makampuni ya Barrick na Accacia lakini kesi zao zili backfire na Serikali ya Tanzania ilishindwa kulingana na MIGA agreements
Mwigulu aache kigugumizi aongee ukweli, Huko Trat na Trab kesi za acacia na Barrick zilikuwepo lakini mambo yalienda kombo kwa serikali
Tundu lissu aliposhauri haya alionekana hafai, Lakini Kiuhalisia serikali yetu ili saini mikataba ya MIGA na Barrick kuwa kesi zote zitasimamiwa na mahakama za kimataifa
Kabudi na kundi lake wakaanzisha utaratibu eti kesi za Barrick na Accacia ziende mahakama za Kisutu na za Buguruni kitu ambacho hakipo kwenye MIGA agreement
Haya mambo sio siri tena, Mwigulu anafahamu na hata mkaguzi wa serikali anafahamu kuwa Tunalipa mabilioni kwa kuvunja MIGA agreement lakini inafanywa siri sana
Ile kesi ya kudai matrilioni kwa Barrick serikali yetu ilishindwa kesi na kutakiwa kuwalipa Barrick
Serikali kwa sasa ya Mama Samia inalipa madeni mengi sana ikiwemo ya kesi za kuvunjwa kwa mikataba kulikofanywa na serikali ya awamu ya Tano
Mwigulu na serikali msifiche mambo,
TRA wamepambana sana kwa shinikizo la serikali lakini kesi imeenda hovyo na sasa Serikali inawalipa hao Barrick na Accacia matrilioni ya pesa
Huko nyumba niliandika kuwa siona uhakika wa kuweza kukubaliana kuwa TZ ilishindwa kesi na AACIA/Barrick. Nimetafuta taarifa na kukuta majibu ya Mwigulu yalikuwa sahihi na siyo uongo. Ukitaka zaidi ingia bhuku ujisomee mwenyewe:Acha uongo wewe.
Hakuna jambo kama hilo.
Miga sio agreement.
Na kesi ya Barrick na Accacia hazikuwa huko Trab na Trat.
Wala hakuna kesi baina ya serikali na hao wawekezaji.
Kajifunze kudanganya.
Muongo wewe.
Kuzuia hayo yasijirudie,Trat na Trab walipambana sana na Makampuni ya Barrick na Accacia lakini kesi zao zili backfire na Serikali ya Tanzania ilishindwa kulingana na MIGA agreements
Mwigulu aache kigugumizi aongee ukweli, Huko Trat na Trab kesi za acacia na Barrick zilikuwepo lakini mambo yalienda kombo kwa serikali
Tundu lissu aliposhauri haya alionekana hafai, Lakini Kiuhalisia serikali yetu ili saini mikataba ya MIGA na Barrick kuwa kesi zote zitasimamiwa na mahakama za kimataifa
Kabudi na kundi lake wakaanzisha utaratibu eti kesi za Barrick na Accacia ziende mahakama za Kisutu na za Buguruni kitu ambacho hakipo kwenye MIGA agreement
Haya mambo sio siri tena, Mwigulu anafahamu na hata mkaguzi wa serikali anafahamu kuwa Tunalipa mabilioni kwa kuvunja MIGA agreement lakini inafanywa siri sana
Ile kesi ya kudai matrilioni kwa Barrick serikali yetu ilishindwa kesi na kutakiwa kuwalipa Barrick
Serikali kwa sasa ya Mama Samia inalipa madeni mengi sana ikiwemo ya kesi za kuvunjwa kwa mikataba kulikofanywa na serikali ya awamu ya Tano
Mwigulu na serikali msifiche mambo,
TRA wamepambana sana kwa shinikizo la serikali lakini kesi imeenda hovyo na sasa Serikali inawalipa hao Barrick na Accacia matrilioni ya pesa
kifo cha kayafa Lisu alijua one week before kutangazaKwani hata kifo cha kayafa si kilikua siri!
Ajabu kuna watu walijua mapema sana na kuanza kutuandaa kisaikolojia.
Usishangae sana kuhusu ili.
Hili andiko mbona kama ni Mwigulu mwenyewe ameandika kujisafishia njia.Trat na Trab walipambana sana na Makampuni ya Barrick na Accacia lakini kesi zao zili backfire na Serikali ya Tanzania ilishindwa kulingana na MIGA agreements
Mwigulu aache kigugumizi aongee ukweli, Huko Trat na Trab kesi za acacia na Barrick zilikuwepo lakini mambo yalienda kombo kwa serikali
Tundu lissu aliposhauri haya alionekana hafai, Lakini Kiuhalisia serikali yetu ili saini mikataba ya MIGA na Barrick kuwa kesi zote zitasimamiwa na mahakama za kimataifa
Kabudi na kundi lake wakaanzisha utaratibu eti kesi za Barrick na Accacia ziende mahakama za Kisutu na za Buguruni kitu ambacho hakipo kwenye MIGA agreement
Haya mambo sio siri tena, Mwigulu anafahamu na hata mkaguzi wa serikali anafahamu kuwa Tunalipa mabilioni kwa kuvunja MIGA agreement lakini inafanywa siri sana
Ile kesi ya kudai matrilioni kwa Barrick serikali yetu ilishindwa kesi na kutakiwa kuwalipa Barrick
Serikali kwa sasa ya Mama Samia inalipa madeni mengi sana ikiwemo ya kesi za kuvunjwa kwa mikataba kulikofanywa na serikali ya awamu ya Tano
Mwigulu na serikali msifiche mambo,
TRA wamepambana sana kwa shinikizo la serikali lakini kesi imeenda hovyo na sasa Serikali inawalipa hao Barrick na Accacia matrilioni ya pesa
Lini mkuu? mpaka may mwaka huu ilikua bado.Ata Symbion nasikia wameshalipwa!
Yaani tuibiwe sisi na tena tuwalipe?😅😅Trat na Trab walipambana sana na Makampuni ya Barrick na Accacia lakini kesi zao zili backfire na Serikali ya Tanzania ilishindwa kulingana na MIGA agreements
Mwigulu aache kigugumizi aongee ukweli, Huko Trat na Trab kesi za acacia na Barrick zilikuwepo lakini mambo yalienda kombo kwa serikali
Tundu lissu aliposhauri haya alionekana hafai, Lakini Kiuhalisia serikali yetu ili saini mikataba ya MIGA na Barrick kuwa kesi zote zitasimamiwa na mahakama za kimataifa
Kabudi na kundi lake wakaanzisha utaratibu eti kesi za Barrick na Accacia ziende mahakama za Kisutu na za Buguruni kitu ambacho hakipo kwenye MIGA agreement
Haya mambo sio siri tena, Mwigulu anafahamu na hata mkaguzi wa serikali anafahamu kuwa Tunalipa mabilioni kwa kuvunja MIGA agreement lakini inafanywa siri sana
Ile kesi ya kudai matrilioni kwa Barrick serikali yetu ilishindwa kesi na kutakiwa kuwalipa Barrick
Serikali kwa sasa ya Mama Samia inalipa madeni mengi sana ikiwemo ya kesi za kuvunjwa kwa mikataba kulikofanywa na serikali ya awamu ya Tano
Mwigulu na serikali msifiche mambo,
TRA wamepambana sana kwa shinikizo la serikali lakini kesi imeenda hovyo na sasa Serikali inawalipa hao Barrick na Accacia matrilioni ya pesa
wee Usalama sio?Maana mijitu kama nyie huwa mnabeheulisha issue halafu wala hamjali kuleta hoja ya kiakili, kutusi tu na kukashfu!Acha uongo wewe. Sasa wewe ndio unajidai unajua maana ya trat na trab? Eti tumeshindwa kwa kuvunja mkataba. Mikataba gani ya wizi. Hao MIGA si ndio wale walikuja kufanya kesi za richmond hoteli ya sheraton jaji mganda mla rushwa yule.
Usichanganye watu hakuna kesi tumeshindwa na majizi yoyote. Na kama kuna mtu analipwa ni wizi mtupu ndio maana wewe peke yako ndio unajua.
Toa ushahidi wa uyasemayo vinginevyo hiyo pua ni porojoTrat na Trab walipambana sana na Makampuni ya Barrick na Accacia lakini kesi zao zili backfire na Serikali ya Tanzania ilishindwa kulingana na MIGA agreements
Mwigulu aache kigugumizi aongee ukweli, Huko Trat na Trab kesi za acacia na Barrick zilikuwepo lakini mambo yalienda kombo kwa serikali
Tundu lissu aliposhauri haya alionekana hafai, Lakini Kiuhalisia serikali yetu ili saini mikataba ya MIGA na Barrick kuwa kesi zote zitasimamiwa na mahakama za kimataifa
Kabudi na kundi lake wakaanzisha utaratibu eti kesi za Barrick na Accacia ziende mahakama za Kisutu na za Buguruni kitu ambacho hakipo kwenye MIGA agreement
Haya mambo sio siri tena, Mwigulu anafahamu na hata mkaguzi wa serikali anafahamu kuwa Tunalipa mabilioni kwa kuvunja MIGA agreement lakini inafanywa siri sana
Ile kesi ya kudai matrilioni kwa Barrick serikali yetu ilishindwa kesi na kutakiwa kuwalipa Barrick
Serikali kwa sasa ya Mama Samia inalipa madeni mengi sana ikiwemo ya kesi za kuvunjwa kwa mikataba kulikofanywa na serikali ya awamu ya Tano
Mwigulu na serikali msifiche mambo,
TRA wamepambana sana kwa shinikizo la serikali lakini kesi imeenda hovyo na sasa Serikali inawalipa hao Barrick na Accacia matrilioni ya pesa
Sidhani kama unahakika na unachokiongea,ni ile hali tu ya ujuaji kibongobongoTrat na Trab walipambana sana na Makampuni ya Barrick na Accacia lakini kesi zao zili backfire na Serikali ya Tanzania ilishindwa kulingana na MIGA agreements
Mwigulu aache kigugumizi aongee ukweli, Huko Trat na Trab kesi za acacia na Barrick zilikuwepo lakini mambo yalienda kombo kwa serikali
Tundu lissu aliposhauri haya alionekana hafai, Lakini Kiuhalisia serikali yetu ili saini mikataba ya MIGA na Barrick kuwa kesi zote zitasimamiwa na mahakama za kimataifa
Kabudi na kundi lake wakaanzisha utaratibu eti kesi za Barrick na Accacia ziende mahakama za Kisutu na za Buguruni kitu ambacho hakipo kwenye MIGA agreement
Haya mambo sio siri tena, Mwigulu anafahamu na hata mkaguzi wa serikali anafahamu kuwa Tunalipa mabilioni kwa kuvunja MIGA agreement lakini inafanywa siri sana
Ile kesi ya kudai matrilioni kwa Barrick serikali yetu ilishindwa kesi na kutakiwa kuwalipa Barrick
Serikali kwa sasa ya Mama Samia inalipa madeni mengi sana ikiwemo ya kesi za kuvunjwa kwa mikataba kulikofanywa na serikali ya awamu ya Tano
Mwigulu na serikali msifiche mambo,
TRA wamepambana sana kwa shinikizo la serikali lakini kesi imeenda hovyo na sasa Serikali inawalipa hao Barrick na Accacia matrilioni ya pesa
Sasa kuna mangapi yalivumishwa kuhusu Magufuli na baadaye hayakuwa kweli? Sasa hilo la kifo cha Magufuli hao waliyojua kabla serikali haijatangaza walieleza chochote chenye kutia uzito kuwa wanachoeleza ni kweli na sio uzushi tu? Hata sasa tushasikia Mzee Mwinyi na Lowassa kuzushiwa kifo.Kwani hata kifo cha kayafa si kilikua siri!
Ajabu kuna watu walijua mapema sana na kuanza kutuandaa kisaikolojia.
Usishangae sana kuhusu ili.
Kwahiyo hili hata Lissu hajui au kaamua kunyamaza tu?Mleta uzi kasema ukweli, hilo jambo kuwa tulishindwa kesi linafichwa sana kwani linaonekana litawapa wapinzani nguvu hasa Lisu. Ifahamike Lisu alishambuliwa baada ya kukosoa approach ya Magufuli kwenye hiyo mikataba.
Hayo madeni ndio yamesababisha wananchi tumewekewa tozo ili kuendana na kesi ya deni lililoletwa na utawala wa kidhalimu wa Magufuli. Inatumika kila nguvu kuhakikisha ukweli huu hauwafikii wananchi. Mapinduzi au machafuko dhidi ya utawala huu yataweka siri hii hadharani.