Mwigulu aongee ukweli, ACACCIA na Barrick wanalipwa mabilioni na serikali kwa kuvunja mkataba

Mwigulu aongee ukweli, ACACCIA na Barrick wanalipwa mabilioni na serikali kwa kuvunja mkataba

Ila wabongo mnapenda sana kutumika na wanasiasa badala ya kubuni njia mjitoe kwenye ukoloni mambo leo mpo busy kupigania matumbo ya watu. Madini ni mali yetu tulitakiwa tuunge mkono kila jitihada za kutupa uhuru wa kutunufaisha na mali hio ila ya ya ya ya yaa mpo busy kupigania kibaraka wa mabeberu
Wenyewe wamekazana Lissu alisema Lissu alisema, wao hawana cha kufanya zaidi wanataka hilo alilosema Lissu liwe kweli ndio wafurahi. Wabongo aliyewaroga sijui nani.
 
JF kila Mtu ni Mjuzi, Msomi(PhD),
Tajiri,

Mfanyakazi,
Mfanyabiashara,
Msanii(Muigizaji/Mwanamuziki),
Mwalimu,
Nabii,
Rubani,
Daktari(Doctor & Herbalist)
Motivation speaker(Muhamasishaji),
Mwanasiasa,
Mvuvi,
Mkulima,
Mchungaji,
Mchezaji mpira,
Mwanasheria,
Baharia,
Mwanajeshi,
Dereva,
Fundi makenikia,
Mshabiki kindakindaki wa MAKOLOKOLO FC/ UTOPOLO FC,
Mwanariadha,
Mpiga ngumi (Mandonga),
Mfiadini(Muarabu/Mmarekani),
Muhasibu,
Mwanasayansi,
Injinia wa - meli/magari/ndege/nyumba, Mwanasaikolojia,
Nahodha,
Afisa masoko/majengo/biashara/elimu,
Mkurugenzi mkuu,
Asiyejulikana,
Mwana-diplomasi,
Imamu,
Chawa,
Mwanaharakati,
Hakimu......

TZ kiboko.... [emoji119][emoji847].
Nikuambie tu ukweli,hao watu kweli wapo nakuongezea tu. Mawaziri,Rais na viongozi wastaafu pia wapo.
 
Sasa kuna mangapi yalivumishwa kuhusu Magufuli na baadaye hayakuwa kweli? Sasa hilo la kifo cha Magufuli hao waliyojua kabla serikali haijatangaza walieleza chochote chenye kutia uzito kuwa wanachoeleza ni kweli na sio uzushi tu? Hata sasa tushasikia Mzee Mwinyi na Lowassa kuzushiwa kifo.
Kwahiyo magufuli hajafa?
 
Kwahiyo magufuli hajafa?
Kwani Mzee Mwinyi kafa? Ndio maana nasema huwezi kupokea tu maneno bila ushahidi maana kabla hilo la kufa Magufuli yapo mengi yaliongelewa huko nyuma kuhusu Magufuli na ikaja kuwa sio kweli, sasa hilo la Lissu kusema Magufuli kafariki tungelitofautisha vp na hayo mengine kama kulikuwa hakuna ushahidi?

Ndio sawa na sasa ambapo tushaona Mzee mwinyi na Lowassa kusemwa kuwa wamefariki au sijui wako hospitali hali mbaya ila hakuna kitu, sasa kesho wewe ukija kesho na kusema mzee mmoja wapo hapo kafa na huna ushahidi utaniona mie mbishi ambaye nitakukatalia?
 
Nikuwekee list ya mambo ambayo yalianza kama tetesi viongozi wakakataa.

Baadaye yakaja kuonekana ni kweli.

Unafahamu kwamba hata tetesi za magufuli kuwa anaumwa na amelazwa zilipingwa kwa nguvu zote na viongozi wakuu wa nchi wengine mpaka kufikia hatua ya kudanganya wakiwa ndani ya nyumba za ibada?

Baadaye ikaja julikana ni kweli alikuwa anaumwa amelazwa na hatimaye amefariki.

Kwa hizi nchi zetu zisizozingatia ukweli na uwazi chochote kinachosemwa kama tetesi si cha kukipuuzia kwa asilimia mia.
 
Kwani Mzee Mwinyi kafa? Ndio maana nasema huwezi kupokea tu maneno bila ushahidi maana kabla hilo la kufa Magufuli yapo mengi yaliongelewa huko nyuma kuhusu Magufuli na ikaja kuwa sio kweli, sasa hilo la Lissu kusema Magufuli kafariki tungelitofautisha vp na hayo mengine kama kulikuwa hakuna ushahidi?

Ndio sawa na sasa ambapo tushaona Mzee mwinyi na Lowassa kusemwa kuwa wamefariki au sijui wako hospitali hali mbaya ila hakuna kitu, sasa kesho wewe ukija kesho na kusema mzee mmoja wapo hapo kafa na huna ushahidi utaniona mie mbishi ambaye nitakukatalia?
Ila na wewe unapotezaga muda kubishana na wapumbavu. Unaamini kabisa utabadilisha wanachoamini?
 
Trat na Trab walipambana sana na Makampuni ya Barrick na Accacia lakini kesi zao zili backfire na Serikali ya Tanzania ilishindwa kulingana na MIGA agreements

Mwigulu aache kigugumizi aongee ukweli, Huko Trat na Trab kesi za acacia na Barrick zilikuwepo lakini mambo yalienda kombo kwa serikali

Tundu lissu aliposhauri haya alionekana hafai, Lakini Kiuhalisia serikali yetu ili saini mikataba ya MIGA na Barrick kuwa kesi zote zitasimamiwa na mahakama za kimataifa

Kabudi na kundi lake wakaanzisha utaratibu eti kesi za Barrick na Accacia ziende mahakama za Kisutu na za Buguruni kitu ambacho hakipo kwenye MIGA agreement

Haya mambo sio siri tena, Mwigulu anafahamu na hata mkaguzi wa serikali anafahamu kuwa Tunalipa mabilioni kwa kuvunja MIGA agreement lakini inafanywa siri sana
Ile kesi ya kudai matrilioni kwa Barrick serikali yetu ilishindwa kesi na kutakiwa kuwalipa Barrick

Serikali kwa sasa ya Mama Samia inalipa madeni mengi sana ikiwemo ya kesi za kuvunjwa kwa mikataba kulikofanywa na serikali ya awamu ya Tano

Mwigulu na serikali msifiche mambo,

TRA wamepambana sana kwa shinikizo la serikali lakini kesi imeenda hovyo na sasa Serikali inawalipa hao Barrick na Accacia matrilioni ya pesa
Heading inasema tunalipa mabilioni, huku unasema matrilioni ya pesa.

Which is which?
 
Back
Top Bottom