Mwigulu aongee ukweli, ACACCIA na Barrick wanalipwa mabilioni na serikali kwa kuvunja mkataba

Aise hebu acheni kuwa wajinga kiasi hiki. Hivi huu upuuzi alioandika huyu mnashindwa kuona kama ni uongo.
Alovyosema tu Mahakama ya Kisutu na Buguruni, wenye akili mlipaswa mjue huyu ni mjinga na hajui hata anachokiandika.
Ni hayo tu
 
Acha uongo wewe.

Hakuna jambo kama hilo.

Miga sio agreement.

Na kesi ya Barrick na Accacia hazikuwa huko Trab na Trat.

Wala hakuna kesi baina ya serikali na hao wawekezaji.

Kajifunze kudanganya.

Muongo wewe.
 
Utetezi dhaifu.
 
Source
 
Yaani kwa akili tu ya kawaida, nchi ipoteze tuzo ya mashauri yanayohusu mikataba, tena ya wawekezaji wa kwenye sekta ya madini. Halafu mzee wa miga akae kimya kweli kwa kipindi chote hiki. Ikizingatiwa mwenenendo wa mashauri hayo ni ya uwazi.
 
Umesahau cheo kimoja, "Dalali"
 
Trat na Trab walipambana sana na Makampuni ya Barrick na Accacia lakini kesi zao zili backfire na Serikali ya Tanzania ilishindwa kulingana na MIGA agreements
The genius Lisu alionya mapema Sana. Lkn yule jiwe hakusikia
 
Hii ni KWELI KABISA

NDIO MAANA MAGUFULI ALIMPIGIA MAGOTI DEO MWANYIKA:
1. akamfutia kesi ya uhujumu uchumi.

2. akampa ubunge wa Njombe mjini.

WENYE AKILI WATAELEWA!.
 
Ndio maana wanakazania tozo
 
Yaani kwa akili tu ya kawaida, nchi ipoteze tuzo ya mashauri yanayohusu mikataba, tena ya wawekezaji wa kwenye sekta ya madini. Halafu mzee wa miga akae kimya kweli kwa kipindi chote hiki. Ikizingatiwa mwenenendo wa mashauri hayo ni ya uwazi.
CCM wanavyopendo sifa ungekuta mtaani hakukali. Huu ukimya na vurugu za Kodi ya mapato na tozo kunatatizo.
 
Kama wanafanya siri sana mbona wewe umejua? Au umedokezwa na Amsterdam! Ahahahahah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…