Mwigulu aongee ukweli, ACACCIA na Barrick wanalipwa mabilioni na serikali kwa kuvunja mkataba

Wenyewe wamekazana Lissu alisema Lissu alisema, wao hawana cha kufanya zaidi wanataka hilo alilosema Lissu liwe kweli ndio wafurahi. Wabongo aliyewaroga sijui nani.
 
Nikuambie tu ukweli,hao watu kweli wapo nakuongezea tu. Mawaziri,Rais na viongozi wastaafu pia wapo.
 
Kwahiyo magufuli hajafa?
 
Kwahiyo magufuli hajafa?
Kwani Mzee Mwinyi kafa? Ndio maana nasema huwezi kupokea tu maneno bila ushahidi maana kabla hilo la kufa Magufuli yapo mengi yaliongelewa huko nyuma kuhusu Magufuli na ikaja kuwa sio kweli, sasa hilo la Lissu kusema Magufuli kafariki tungelitofautisha vp na hayo mengine kama kulikuwa hakuna ushahidi?

Ndio sawa na sasa ambapo tushaona Mzee mwinyi na Lowassa kusemwa kuwa wamefariki au sijui wako hospitali hali mbaya ila hakuna kitu, sasa kesho wewe ukija kesho na kusema mzee mmoja wapo hapo kafa na huna ushahidi utaniona mie mbishi ambaye nitakukatalia?
 
Nikuwekee list ya mambo ambayo yalianza kama tetesi viongozi wakakataa.

Baadaye yakaja kuonekana ni kweli.

Unafahamu kwamba hata tetesi za magufuli kuwa anaumwa na amelazwa zilipingwa kwa nguvu zote na viongozi wakuu wa nchi wengine mpaka kufikia hatua ya kudanganya wakiwa ndani ya nyumba za ibada?

Baadaye ikaja julikana ni kweli alikuwa anaumwa amelazwa na hatimaye amefariki.

Kwa hizi nchi zetu zisizozingatia ukweli na uwazi chochote kinachosemwa kama tetesi si cha kukipuuzia kwa asilimia mia.
 
Ila na wewe unapotezaga muda kubishana na wapumbavu. Unaamini kabisa utabadilisha wanachoamini?
 
Heading inasema tunalipa mabilioni, huku unasema matrilioni ya pesa.

Which is which?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…