Neno "kugwaya" lina maana sawa kabisa na neno "kuufyata". Neno hili asili yake ni mkoa wa Kigoma.
Mama alipoingia tu ikulu akapewa taarifa za upigaji wa mabilioni ya shilingi pale BoT akaunde tume ya uchunguzi ikampa ripoti. .....mama kimya.
Ripoti ya CAG ya kwanza ktk utawala wa mama ikafuatia, ikataja madudu kibao .....mama kimya.
Hatujakaa sawa mama akatamaka mwenyewe kwamba kuna wakware wameweka fedha za plea bargaining kwenye akaunti binafsi nchini China.....mpk leo mama kimya.
Ofisi ya CAG ikiongozwa na Kichere imekuja na ripoti nyingine yenye madudu kibao ...mama anaishia kulalamika tu.
Watu badala ya kumlaumu mama wanamlalamikia Mwigulu. Unataka Mwigulu afanye nn ikiwa mama mwenyewe anawagwaya wapigaji???.
Siyo siri tena kwamba waapigaji wana nguvu kuliko serikali .
NIMEMALIZA (kwani mnanilipa?)