Mwigulu asiangushiwe zigo. Hata mwenye nchi "anawagwaya" hao wapigaji

Ni akina nani hawa?
Hawa wanaweza kuwepo bila yeye kuwa mmoja wao; na hata kuwa kiongozi wao na mshiriki mkuu?

Habari hii ni ya kuokoteza visababu ili kupoteza lengo.
Hawa ndiyo wameshika rimoti ya serikali. Wanaamuru nini kizumgumzwe na nini kisizungumzwe, nani atoke na nani aingie. Kila anayepingana nao hujikuta pabaya. Lazima waufyate.
 
Aliingia kwa mbwembwe kana kwamba ni limbukeni
 
Neno "kugwaya" lina maana sawa kabisa na neno "kuufyata". Neno hili asili yake ni mkoa wa Kigoma.

Mama alipoingia tu ikulu akapewa taarifa za upigaji wa mabilioni ya shilingi pale BoT akaunde tume ya uchunguzi ikampa ripoti. .....mama kimya.

Ripoti ya CAG ya kwanza ktk utawala wa mama ikafuatia, ikataja madudu kibao .....mama kimya.

Hatujakaa sawa mama akatamaka mwenyewe kwamba kuna wakware wameweka fedha za plea bargaining kwenye akaunti binafsi nchini China.....mpk leo mama kimya.

Ofisi ya CAG ikiongozwa na Kichere imekuja na ripoti nyingine yenye madudu kibao ...mama anaishia kulalamika tu.

Watu badala ya kumlaumu mama wanamlalamikia Mwigulu. Unataka Mwigulu afanye nn ikiwa mama mwenyewe anawagwaya wapigaji???.

Siyo siri tena kwamba waapigaji wana nguvu kuliko serikali .

NIMEMALIZA (kwani mnanilipa?)
Duh 🙄 !
 
Hawa ndiyo wameshika rimoti ya serikali. Wanaamuru nini kizumgumzwe na nini kisizungumzwe, nani atoke na nani aingie. Kila anayepingana nao hujikuta pabaya. Lazima waufyate.
Mkuu, sitafuti ubishi.

Kwa hiyo dhana hii ninaikataa katakata.

It's just a figment of imagination.

Hakuna watu wa aina hiyo hapa kwetu kwa sasa hivi.

May be we're just wishing for them to exist. But why?
 
Hana maumivu ya nguvu wala hashituki mali ya umma kuliwa ukichanganya na kula kwa urefu wa kamba yake na sasa kamba zimekata lakini pia mambo yakuvimbuwa hayo! Anacheza na watanganyika hao.
 
Mkuu, sitafuti ubishi.

Kwa hiyo dhana hii ninaikataa katakata.

It's just a figment of imagination.

Hakuna watu wa aina hiyo hapa kwetu kwa sasa hivi.

May be we're just wishing for them to exist. But why?
Nikuoe mfano. Awamu ya 5 Makonda alikuwa anaogopwa mpk na PM na VP wa wakati huo

Hivi Sasa Kuna watu wanaogopwa. Ukiendelea kubisha nitakupatia majina
 
EeeehHeeee Heeee!

Wacha utani bhwanah na mambo serious ya nchi hii.

Hayo majina ya akina January Makamba ndiyo leo yawe ya kutishia watu!

Jameni, tuache mzaha na nchi yetu hii. Tunaiangamiza sisi wenyewe kwa mzaha mzaha kama huu wako.

Nchi hii ikiendelea na upuuzi wa namna hii sitashangaa tukishuhudia jeshi likichukua jukumu kuwaondoa hawa wapuuzi.
 
Hivi wale walioenda na viroba na magunia kwenye Ile bank na kutoka yamejaa hawakuwa wezi au, na sikumbuki ilikuwa ni awamu ya nani!!
Kulikuwa na mtu anaitwa Ugurumo siyo yule hayati Muhidini wa msondo ngoma, la hasha ni product ya Msoga.

Alikuwa mnikulu mkuu.
 
Nchi hii ikiendelea na upuuzi wa namna hii sitashangaa tukishuhudia jeshi likichukua jukumu kuwaondoa hawa wapuuzi.
Jeshi la nchi hii hakijawahi kuwa serious hata mara moja. Lingekuwa serious jiwe asingemaliza hata mwaka madarakani.
 
Neno "kugwaya" lina maana sawa kabisa na neno "kuufyata". Neno hili asili yake ni mkoa wa Kigoma.

Mama alipoingia tu ikulu akapewa taarifa za upigaji wa mabilioni ya shilingi pale BoT akaunde tume ya uchunguzi ikampa ripoti. .....mama kimya.

Ripoti ya CAG ya kwanza ktk utawala wa mama ikafuatia, ikataja madudu kibao .....mama kimya.

Hatujakaa sawa mama akatamaka mwenyewe kwamba kuna wakware wameweka fedha za plea bargaining kwenye akaunti binafsi nchini China.....mpk leo mama kimya.

Ofisi ya CAG ikiongozwa na Kichere imekuja na ripoti nyingine yenye madudu kibao ...mama anaishia kulalamika tu.

Watu badala ya kumlaumu mama wanamlalamikia Mwigulu. Unataka Mwigulu afanye nn ikiwa mama mwenyewe anawagwaya wapigaji???.

Siyo siri tena kwamba waapigaji wana nguvu kuliko serikali .

NIMEMALIZA (kwani mnanilipa?)
Si ndio hapo Sasa yaani pesa wale wengine harafu lawama abebe Mwigulu Kwa kipi hasa?

Kama hatua hazichukuliwi wa kulaumiwa ni Rais iwe ana wagwaya au anashirikiana nao.
 
Jeshi la nchi hii hakijawahi kuwa serious hata mara moja. Lingekuwa serious jiwe asingemaliza hata mwaka madarakani.
Ukiwaeleza habari hizo watu wa Uganda au Msumbiji watakushangaa sana, na hawataweza kamwe kukuelewa unachoeleza.

Hiyo ndiyo taasisi pekee ndani ya nchi hii iliyobaki na heshima, angalau kidogo. Na nadhani ni uvumilivu kutokana na heshima iliyojengeka huko, ndiyo sababu wamechelewa sana.
 
Ukiwaeleza habari hizo watu wa Uganda au Msumbiji watakushangaa sana, na hawataweza kamwe kukuelewa unachoeleza.

Hiyo ndiyo taasisi pekee ndani ya nchi hii iliyobaki na heshima, angalau kidogo.
Mambo ya hadithi za kale haya.

Huko nyuma jeshi lilikuwa linajitambua ndiyo maana lilifanya majaribio kadhaa ya utaka kumpindua Nyerere.

Baada ya majaribio hayo ndipo jeshi likachakachuliwa mpka leo halina chochote..
 
Basi , kumbe wewe una hadithi za kileo ambazo ndizo hizi tunazoziona kwenye mada yako hii.
Nothing serious, siku nzima ni kulialia tu?

Jeshi lilipokwenda Uganda "halikuwa na chochote"?

Jeshi liliposhiriki katika mapambano na makaburu, hilo lilikuwa jeshi la "kuchakachua" kama unavyosema hapa?

Kwa hiyo wewe unaona jeshi ni hilo lililotaka kupindua kwa sababu za kipumbavu na siyo hizi za kipuuzi za sasa?

Unanishangaza kweli kweli na 'thought process' yako hapa.
 
Jeshi lilipokwenda Uganda "halikuwa na chochote"?
Sasa Uganda kulikuwa na jeshi gani miaka ya 1970 mpk tujipige kofia kwa kulishinda?
Jeshi liliposhiriki katika mapambano na makaburu, hilo lilikuwa jeshi la "kuchakachua" kama unavyosema hapa?
Sasa jeshi letu liliwashinda makabiru?

Huko Congo tu kwa waasi wa M23 si unaona tunavyorudisha mizoga kila mwaka??

Majeshi yapo Guinea, Gambia, Burkina Faso ambako utawala ukizungua unapinduliwa. Siyo hawa wanywa gongo hapa kwetu.
 
Sasa Uganda kulikuwa na jeshi gani miaka ya 1970 mpk tujipige kofia kwa kulishinda?

Sasa jeshi letu liliwashinda makabiru?

Huko Congo tu kwa waasi wa M23 si unaona tunavyorudisha mizoga kila mwaka??
naona mjadala huu huuwezi, kwa sababu hujui kitu au una lako jambo tu jingine.

Actually mada yenyewe ni kama tunajadili umbeya tu.
Nashangaa imefika hadi kurasa 5, kwa jambo lisilokuwa na ushahidi wowote. Hakuna 'fact' hata moja iliyowasilishwa hapa kuonyesha kuna kundi la aina yoyote, sasa tunageukia tena kwenye maswala mengine, ambayo ni dhahiri hata huko ni kupiga piga tu maneno!

Basi, imetosha.
 
Back
Top Bottom